tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Bajaj zikipita traffic light bila ruhusa haina shida, wewe mwenye gari ukiunga ukidhani mmeruhusiwa imekula kwako.
Bajaj ikijaza watu, igeuze main road, ichukue abiria nje ya kituo, na dereva aendeshe kwa kuning'inia hakuna mtu atambugudhi. Daladala ifanye kosa mojawapo hapo utaumia.
Kama tumeamua bajaj ziwe njia yetu kuu ya usafiri, kwanini zisifuate sheria za barabarani?
Tumekuwa Taifa la hovyo.