Kwanini bangi ikatazwe wakati pombe inaleta madhara pia. Turekebishe Sheria za Kikoloni

Sigara na pombe vilikuwepo tangu hata ukoloni haujafika Afrika. Tuna pombe zetu za asili pamoja na sigara. Kawaulize wazee
Utakuwa umezaliwa miaka ya 2000
Acha upumbavu wewe,
Kuna sehemu nimeongelea kua sigara imeanza lini? Mbona unakua mjinga kiasi hicho? Halafu kua makini wewe unaweza kua hata ni mjukuu wangu.
 

Tahajudi ni nini?
 
Njoo Arusha ndio utajua kwanini Bangi imekatazwa
 
Huyo alikuw anachanganyiwa madawa, bangi haimtoi udenda mtu
 
Na hivyo vingine ulivyotaja vizuiwe pia tu
 
Na hivyo vingine ulivyotaja vizuiwe pia tu
 
Hili ndio tatizo kubwa aisee

wengi hawajui hili
 
Kwa heshima na taadhima tengueni kauli haiitwi bangi hiyo ni DAWA hata shirika la afya linatambua hilo ndio maana imetolewa kwenye list ya madawa ya kulevya kwenye weed kuna kitu kinaitwa THC (Tetrahydrocannabinol) is an herbal drug
kweli mkuu
 
wala bange wengi niliokutana nao wana akili mno!!
 
Nakumbuka siku ya kwanza kujifunza kuvuta bangi ilikuwa ni mwaka 2013 nikiwa form4 sekondary ya Greenview iliopo mwanza(ilemela)
Siku hiyo nakumbuka tulitoroka hostel na rafiki zangu watatu mida ya saa tatu usiku maana kwa sisi boys tulikuwa tunakaa nje ya shule pembeni kidogo na fensi ya shule... bhas bhana kwa kuwa nlikuwa na uzoefu kidogo wa kuvuta sigara japo nayo ilikuwa imeanza kunikolea nkasema na hii kitu kubwa (bangi) niijaribu... sasa tukatoka zetu usiku kama kawaida etu tukaenda kuvuta sigara then tukapita kwa pusha wa bangi... hapo rafiki zangu walikuwa ni wavutaji wa bangi ile mbaya... baada ya kufika kwa pusha akatunyongea kama kawaida .. wakaanza kuvuta rafiki zangu nipo na mimi wakanishawishi nivute... bhas bhana nkajitoa muhanga na mimi uku nikiwa na hofu sijui stim lake likoje... bhas nkaichukua ile bangi nkaanza kuvuta... sasa kumbe bangi moshi wake ni laini sana tofauti na sigara wala kupaliwa ningumu sana ... nkapiga pafu moja nkaenda ya pili hadi ya tatu... nkawauliza jamaa zangu mbona haipandi sisikii kitu kwa maana nlikuwa nmeshazoea sigara pafu moja au mbili kitu unaanza sikia stim... bhas wakanambia sikilizia .... nkaendelea kupga pafu ya nne adi tano iv nadhani kama sio sita...

Tulivomaliza tukaanza safari ya kurejea shuleni... wakati huo wanafunzi wapo prepo kujisomea wakati sie tupo mtaa...
wakati tupo njiani tumekaribia shuleni kitu nkaanza kusikia kinapanda... ghafla mwili ukashikwa ganzi ilioambatana na baridi huku nkaanza kuona maluweluwe iv...
sasa tulivofika shuleni tukatuka fensi na kuingia kutokea darasani ili tujumuike na wenzetu prepo bhas ghafla nkakutana na mdada ambae alikuwa ananifaham yeye alikuwa form3 bhas akawa ananiita .... sasa wakati ananiita ile bangi ilikuwa ishapanda kichwani nkawa sielewi nacheka tu mwenyew🤣🤣🤣 afu nkawa kama namkimbia kuelekea darasani .... ile kuingia darasani kuchukua daftari nianze kusoma nkawa naona maandishi yanapanda kwa juu kwa unatumia computer vile... nkaanza kudata sana wakati huo najikaza wanafunzi wenzangu wasigundue kitu... mara kicheko kiwawa kinanibana nkakitoa kwa nguvu🤣🤣🤣 baada ya kuangaliana na rafiki ang mmoja wa kike nkawa nmetoka nje... ile nmetoka nje ghafla nkakutana na mwalimu akawa kaniita akauliza "kwanini upo nje muda wa kujisomea?" Nikawa sasa najikaza ili asinigundue... mimi nkamjibu najihisi vibaya kichwa kinauma sana naomba nkajimwagie maji nkapumzike hostel... bhas akawa kanielewa nipo nkashuka kwenye ma tank ya maji kwenda kujimwagia maji kichwa ili kitu ipungue makali... wakati huo koo lilikuwa limekauka hata mate mdomoni yalikuwa hayapo ... nkafika kwenye ma tank nkanywa maji mengi sana na kujimwagia maji kichwani lakini ngoma bado ikawa ngumu... wakati huo natetemeka mambo nayoyaskia maskioni mwangu siyaelewi...

Mawazo yangu yalinipeleka kwamba nimeshakuwa mwehu sababu wakati tunatoka kwa pusha njiani bangi ilivokuwa inapanda nkawa kama sielewi kitu nkataka kupga kelele ila mmoja wa rafiki angu akanambia usipge kelele jikaze ... ukipga kelele utakuwa mwehu mazima ... bhasi nkawa naogopa sana maana nkajua tayari nmeshakuwa mwehu.... bhasi baada ya kujimwagia maji nkawa narudi hostel ... nlipofika hostel kulikuwa hakuna wanafunzi nkapanda kitandani kwangu (kitanda cha juu) bhas wakati nipo kitandani nkaanza kusikia masauti ambayo siyaelewi mara adhana nazisikia kwa sana mara sauti ya mama ikisema nisije jaribu kuvuta bangi ntakuwa mwehu....
Duh apo ndo nkaanza kuchanganyikiwa nkijua daaah nmeshachiz sitorudi tena kwenye hali yangu ya kawaida... bhasi nkawa nateseka kitandani nataka adi kulia ila nkawa najikaza kama nilivoambiwa... bhas kuna muda mawazo yaniijia nitoke niende hostel ya wadada.. hapohapo akili inakuwa inatoka na kurudi nkashikilia kitanda nisitoke.... nkajikaza ivoivo adi watu walivotoka prepo wakanikuta hostel... jamaa zangu wakawa wamekuja kuniangalia kitandani na kunisemesha... nikawaambia waniache kwanza "wakaanza kunicheka" bhas nkawa sielewi kitu nipo kitandani bado naskia masauti sauti tu ya ajabu mixer makelele ya watu hapo vyumbani...
Nikakaamuda sana nkaanza kuona mabadiliko kama mzigo unaanza kupoa.. kidogo nkaanza kupata faraja kwamba narudi katika hali yangu... bhas nkawa namuomba Mungu nirudi kuwa sawa na nkiahidi kimoyomoyo kuwa sitorudia tena... bhas kufikia mida ya saa sita usiku Mungu akasaidia stimu likakata ndipo nkatelemka kwenye kitanda na kwenda kukojoa na nikasema sitorudia tenaaaa
Nkafurahi sana maana nlijua nshakuwa mwehu....

Kilichofuta tena aseeee baada ya kurudia tena ..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…