Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

Wingereza na marekani zimetajwa sema kwa namna ambavyo huwezi elewa. Kasome kitabu cha Daniel alafu fananisha na matukio ya dunia mf. WW1,WW2..vita baridi
 
Watu wa Historia ya Biblia wajibu
 
Hivi Misri ni Ulaya ?

Mathayo 2:14
Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri.
Mwanzo 12:14
Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana.
 
Hao jamaa wa kwenye Biblia , maarifa yao kuhusu dunia yalikuwa limited.
 
Ebu tufafanulie kidogo hapo mkuu
 
Looser
 
Marko 16:
Mark

15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

15 And He said to them, "Go into all the worldand preach the gospel to every creature.
 
Halikuwepo kabisa
 
Ongeza NYAMA KIDOGO pamoja na kuwa biblia kuandikwa kulingana watu kile walichosikia na kukiona pia Kuna watu ambao ndio walikuwa wanaamua kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe HADHIRA kaz yetu kupokea tu.

Hakuna mtu alikuwa anajiamulia cha kuandika kwenye bible,bible imeandikwa na watu ila kwa uweza wa roho wake MUNGU.
 

Ukiacha bangi utaelewa,ila kwa sasa bado huwezi elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…