Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

Wingereza na marekani zimetajwa sema kwa namna ambavyo huwezi elewa. Kasome kitabu cha Daniel alafu fananisha na matukio ya dunia mf. WW1,WW2..vita baridi
 
Watu wa Historia ya Biblia wajibu
 
Hivi Misri ni Ulaya ?

Mathayo 2:14
Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri.
Mwanzo 12:14
Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana.
 
Ni suala ambalo halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Hao jamaa wa kwenye Biblia , maarifa yao kuhusu dunia yalikuwa limited.
 
USA imetajwa katika Biblia kutimiza UNABII wa MWANZO na MWISHO wa hii dunia kusambaratishwa na Mungu

Ukisoma vizuuuri tafsiri ya hii dunia tangu kutawaliwa na nchi za Italy (Romans), Uajemi, UK, Ugiriki n.k utaelewa vyema kabisa kupitia vitabu vya DANIEL na UFUNUO.
Ebu tufafanulie kidogo hapo mkuu
 
Biblia ni hadithi za uzushi tu zilitungwa na wahuni wachache kwa malengo maalumu, huku wakizitumia nchi za Middle east kama chambo la wabeba maudhui ya stori zao za kusadikika.

Hadith zote za quran na biblia ni uongo hazijawai kuwepo.

Tafuta ushaidi dunia nzima hutoona uwepo wa musa, sijui akina ibrahimu, akina suleiman, huyo yesu ndio kabisaa story za kujichanganya,

hata iyo nchi ya ahadi feki(israel) haijawai kuwepo kabla ya kuundwa mwaka 1947 na umoja wa mataifa, wakawajengea na hayo maekalu feki na makaburi feki mnayosema alizikwa yesu, na huko yerusalem ya uongo ambako kabla ya kuundwa mwaka 1947 hapakukuwa na uwepo wa iyo jamii ya waisrael bal wakimbizi wa ulaya walioingia hapo palestina kwa mgongo wa UN.

Tafuta mahala popote dunian hutoona uwepo ama ushahidi wa Falao ama mnaita firauni kuwa aliwaweka utumwani jamii fulan huko misri kwa miaka400, hata hao mafalao wenyewe hawajawai kuwa na historia ya kufanya ushenzi wa kufanya utumwa, bali chuki za waarabu na wazungu waliamua kutunga stori mbaya kuuchafua utawala wa waafrika wa kale waonekane walikuwa washenzi.

Stori za kidini ili uamini inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana itakulazimu uamini hata mambo unayoona hayamake sense we utaambiwa amini usihoji.

Kuna matukio mengi na makubwa kulko hayo yaliyotajwa na vitabu vyenu vya uongo na ubaguzi.

Ktk historia ya dunia jambo baya na lakutisha ni Utumwa kwa jamii ya waafrika kuharibiwa maisha, kuharibiwa asili yao, utamaduni, kumbukumbu na mamilioni ya watu kupoteza maisha, lkn hutoona hizo biblia zenu na ngonjera za Quran zikiongelea as if yaliyotokea ni mazuri ama vitabu vyenu vinabagua baadhi ya jamii kuelezea maisha yao?

Dunia ina historia kubwa ya muda mrefu tofaut na hizo stori zenu za kijinga za kidini.
Looser
 
Ni suala ambalo halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Marko 16:
Mark

15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

15 And He said to them, "Go into all the worldand preach the gospel to every creature.
 
Ni suala ambalo halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America...
Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo mengi ya mabara hayo isipokuwa America....
Nini kilifanya America isahaulike kiasi hicho?
Halikuwepo kabisa
 
Ongeza NYAMA KIDOGO pamoja na kuwa biblia kuandikwa kulingana watu kile walichosikia na kukiona pia Kuna watu ambao ndio walikuwa wanaamua kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe HADHIRA kaz yetu kupokea tu.

Hakuna mtu alikuwa anajiamulia cha kuandika kwenye bible,bible imeandikwa na watu ila kwa uweza wa roho wake MUNGU.
 
Biblia ni hadithi za uzushi tu zilitungwa na wahuni wachache kwa malengo maalumu, huku wakizitumia nchi za Middle east kama chambo la wabeba maudhui ya stori zao za kusadikika.

Hadith zote za quran na biblia ni uongo hazijawai kuwepo.

Tafuta ushaidi dunia nzima hutoona uwepo wa musa, sijui akina ibrahimu, akina suleiman, huyo yesu ndio kabisaa story za kujichanganya,

hata iyo nchi ya ahadi feki(israel) haijawai kuwepo kabla ya kuundwa mwaka 1947 na umoja wa mataifa, wakawajengea na hayo maekalu feki na makaburi feki mnayosema alizikwa yesu, na huko yerusalem ya uongo ambako kabla ya kuundwa mwaka 1947 hapakukuwa na uwepo wa iyo jamii ya waisrael bal wakimbizi wa ulaya walioingia hapo palestina kwa mgongo wa UN.

Tafuta mahala popote dunian hutoona uwepo ama ushahidi wa Falao ama mnaita firauni kuwa aliwaweka utumwani jamii fulan huko misri kwa miaka400, hata hao mafalao wenyewe hawajawai kuwa na historia ya kufanya ushenzi wa kufanya utumwa, bali chuki za waarabu na wazungu waliamua kutunga stori mbaya kuuchafua utawala wa waafrika wa kale waonekane walikuwa washenzi.

Stori za kidini ili uamini inabidi ujitoe ufahamu kweli kweli maana itakulazimu uamini hata mambo unayoona hayamake sense we utaambiwa amini usihoji.

Kuna matukio mengi na makubwa kulko hayo yaliyotajwa na vitabu vyenu vya uongo na ubaguzi.

Ktk historia ya dunia jambo baya na lakutisha ni Utumwa kwa jamii ya waafrika kuharibiwa maisha, kuharibiwa asili yao, utamaduni, kumbukumbu na mamilioni ya watu kupoteza maisha, lkn hutoona hizo biblia zenu na ngonjera za Quran zikiongelea as if yaliyotokea ni mazuri ama vitabu vyenu vinabagua baadhi ya jamii kuelezea maisha yao?

Dunia ina historia kubwa ya muda mrefu tofaut na hizo stori zenu za kijinga za kidini.

Ukiacha bangi utaelewa,ila kwa sasa bado huwezi elewa
 
Back
Top Bottom