Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

Waasisi wa Ukristo, Uislam au Uyahudi, maarifa yao kuhusu ulimwengu yalikuwa yanaishia inayoitwa Mashariki ya Kati na maeneo yaliyokuwa na muingiliano nayo tu wakati huo. Ndio maana hausemi kuhusu America kama alivyouliza.
Hao waasisi ni mahali gani walisema uyahudi , Ukristo ni dini?
 
Hao waasisi ni mahali gani walisema uyahudi , Ukristo ni dini?
Haijalishi walisema/hawajasema— haibadilishi kitu. Kilicho muhimu ni nini wanadamu na ulimwengu tunakitambua. Dunia leo inajua Ukristo, Uislam na Uyahudi ni dini.
 
Haijalishi walisema/hawajasema—sio haibadilishi kitu. Kilicho muhimu ni nini wanadamu na ulimwengu tunakitambua. Dunia leo inajua Ukristo, Uislam na Uyahudi ni dini.

Mbona unakimbia na uliandika wewe kuwa Ukristo , uyahudi ni dini ?kwa nini useme kitu ambacho huna Hakika Nacho na hutaki kukubali makosa?

Halafu unasema haijalishi? Una Hakika na maneno yako ?
 
Wewe usiyekuwa na story za kijinga . Una nini cha kuonyesha duniani chenye akili kinachoishi ?!. Obvious huna.

Hukuhitaji ku comment kwa dharau ukiwa empty handed .
 
Mbona unakimbia na uliandika wewe kuwa Ukristo , uyahudi ni dini ?kwa nini useme kitu ambacho huna Hakika Nacho na hutaki kukubali makosa?

Halafu unasema haijalishi? Una Hakika na maneno yako ?
Hakuna mahala nilipokimbia, Ukristo, Uyahudi ni Dini.
 
Hakuna mahala nilipokimbia, Ukristo, Uyahudi ni Dini.
😜😝😝😝😝

uliandika wewe kuwa Ukristo , uyahudi ni dini ?kwa nini useme kitu ambacho huna Hakika Nacho na hutaki kukubali makosa?

Halafu unasema haijalishi? Una Hakika na maneno yako ?
 
😜😝😝😝😝

uliandika wewe kuwa Ukristo , uyahudi ni dini ?kwa nini useme kitu ambacho huna Hakika Nacho na hutaki kukubali makosa?

Halafu unasema haijalishi? Una Hakika na maneno yako ?
Hakuna nilichobadilisha. UKRISTO NA UYAHUDI NI DINI.
 
Hii inathibitisha adam na eva sio binadamu wa kwanza,huko amerika walikuwepo watu kitambo tu
Hata biblia inasema Kaini na Habili, baada ya Kaini kuzinguana na Mungu na kumuua Habili kwa wizi.

Mungu alimpa adhabu akaenda mbali huko akatafuta mke anaanzisha maisha.
 
Hakuna nilichobadilisha. UKRISTO NA UYAHUDI NI DINI.
Umeandika

Dunia leo inajua Ukristo, Uislam na Uyahudi ni dini.

Hayo maneno ya kusema ukristo na uyahudi ni dini umeyatoa kitabu gani ?

Uliandika

Waasisi wa Ukristo, Uislam au Uyahudi, maarifa yao kuhusu ulimwengu yalikuwa yanaishia inayoitwa Mashariki ya Kati na maeneo yaliyokuwa na muingiliano nayo tu wakati huo.

Hao waasisi ni nani ?
 
1. It's a known fact kuwa; Ukristo, Uislam na Uyahudi ni dini; Kitabu gani kimesema hayo?—kama una maanisha kwenye Biblia, I'm sorry mimi sio mtaalamu wa biblia wala Quran.

2. Ukristo kama ilivyo Uislam, ni mjuisho wa mafunzo, maagizo au maamrisho waliyoyapata watu wengi (wakiongozwa na Yesu Kristo ama Muhammad), pia walikuwepo mitume na manabii kabla yao hawa. Wote kwa ujumla wao mapito au mafunzo yao ndio yameunda dini hizo. Mf Kina Abraham, Musa, n.k wote hao wameunda.
 
kIDOGO UMEJIBU VIZURI kwenye hili jibu lako la kwanza

1. It's a known fact kuwa; Ukristo, Uislam na Uyahudi ni dini; Kitabu gani kimesema hayo?—kama una maanisha kwenye Biblia, I'm sorry mimi sio mtaalamu wa biblia wala Quran.

Kuwa known fact wakati hakuna kitabu cha dini kinachosema kuwa ukristo au uyahudi ni dini hiyo si fact ila ni uvumi tu

Mbona unajichanganya na wewe si mtaalamu wa biblia wala quran ?????, mbona huku umesema nakunukuu

kama una maanisha kwenye Biblia, I'm sorry mimi sio mtaalamu wa biblia wala Quran.
 
Wewe unataka nikujibu kwa mtazamo wako, so tufupishe mazungumzo. Ukristo na Uyahudi kwako ni nini?
 
Wewe unataka nikujibu kwa mtazamo wako, so tufupishe mazungumzo. Ukristo na Uyahudi kwako ni nini?

Sio kwangu ni kwa mujibu wa vitabu vya ukristo na uyahudi hakuna mahali vimeandika kuwa hizo ni dini.

sasa kama unaona britannica au mtu yeyote kaandika ni dini wanao uhuru huo wa kuandika hata wewe unao uhuru wa kuandika utakavyo
 
kionhozi anzisha uzi wa historia ya kweli iki watu tutoke utumwani(akili), kama itawezekana.
 
Limetajwa kama mfalme. Kwenye kitabu cha ufunuo ama pembe kwenye kitabu cha Kinabii cha Daniel.
 
Ufunuo wa Yohana 13:1 ni US ambayo iko North America.
 
Hata biblia inasema Kaini na Habili, baada ya Kaini kuzinguana na Mungu na kumuua Habili kwa wizi.

Mungu alimpa adhabu akaenda mbali huko akatafuta mke anaanzisha maisha.
Hii ya kusema akaenda mbali huko akatafuta mke akaanzisha maisha ni uongo. Imesema akaondoka mbele ya uso wa Mungu na akaenda kuishi Shinari.

Baadhi ya maandiko ya kale yanasema Shinari lilikuwa ENEO la Mashariki mwa Edeni nje ya ENEO aliloishi Adam na Mkewe na Kaini aliona mke miongoni mwa wadogo zake. Mke wa Kaini alikuwa anaitwa AWAN Ambaye alikuwa Pacha wake na Kaini ambaye aliolewa mwanzo na Abeli na baada ya kifo Cha Abel Kaini ndio alimuoa na hiko pia ndio chanzo Cha kifo cha Abeli "Wivu wa Mapenzi"

Mwanzo 5:1 utaona inasema Adam na hawa walizaa Wana wa kike na kiume. Baadhi ya maandiko ya kale ya Kiyahudi(Abrahamic Text's) yanasema Adam na Hawa walikuwa na watoto wa kiume 23 na WA Kike 33.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…