February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Nimekua nikiamini kuwa hakuna bara linaloifikia Afrika kwa uzuri wa kusapoti uhai, yaani vitu kama rasiliamali nyingi, hali ya hewa, ardhi yenye rutuba, maji ya kutosha(sub saharan), wanyama wengi wa kuwinda/kula nk. nk.
Pia nimekua nikiamini kuwa Afrika ndipo binadamu wa kwanza walipoishi
Lakini pia ni common knowledge kuwa binadamu angependa kuishi sehemu yenye hali ya hewa nzuri na chakula cha kutosha maana yake kuwe na ardhi nzuri ya kulima, mvua za kutosha na wanyama wa kuwinda.
Na kama wanadamu wa Kwanza waliishi Afrika,; bara lenye kila kitu walichokihitaji hivyo basi tungetegemea wengi wasingeondoka Afrika lwa kuvuka majangwa na milima na bahari na kwenda kujazana Asia, na kwasasa ilitakiwa Afrika ndiyo ingekuwa inaongoza kwa kuwa na watu wengi.
Lakini Ukweli sio huo, Asia inaongoza kwa idadi na karibia theluthi mbili (2/3) ya watu duniani wanaishi Asia kwa ujumla ya zaidi ya Billioni 4.6 kwenye dunia ya watu bilioni 7.7
Nchi mbili tu India na China zina zaidi ya billion 2.7
Yaani nchi mbili tu duniani zilizo Asia zinanataka kulingana na mabara matatu (yaani Afrika + Ulaya + bara la Marekani kaskazini)
Ilikuwaje Asia ikawa na watu wengi hivi?
Kuna nini Asia?