Kwanini bara la Asia (hususani China & India) kuna watu wengi mno?

Kwanini bara la Asia (hususani China & India) kuna watu wengi mno?

✓Wanaokuelewa ni wale waliosoma masomo ya Geography, mathematics, basic applied mathematics na Statistics tuuuuu. Hawa wengine hawaelewi kitu apa
wewe uliyemulewa,,unaona yuko sahihi?? Hata kwa population density Asia bado inaongoza
 
India na china ni mataifa yaliyoamua kwa vitendo kutekeleza andiko la "nendeni mkaijaze dunia"
Na alivyokuwepo jamaa flani hivi akawaambia zaeni mkaanza kumtupia mawe.

👉🏾 Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
 
Huko Asia watu ni wengi kama michanga,ukiacha India na China kuna Indonesia,Japan,South Korea,Pakistan,Bangladesh,Thailand,Phillipines,Vietnam,Iran nk yaani hao jamaa ni wengi hatari.
 
Back
Top Bottom