kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kisa ni ule uzalendo wetu wa kitanzaniaJe, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Nikikukopesha hivi Sasa,Nikisema kwako ni baraka, nitakuwa nimekosea?Mikopo ni baraka?!
Utakuwa umekosea sana bwashee!Nikikukopesha hivi Sasa,Nikisema kwako ni baraka, nitakuwa nimekosea?
Wale mabalozi wanao hudhuria kesi ya Mbowe wana zi-feed nchi zao kila kitu, kuwa Chief Hagaya si mwanademokrasia wakweli bali ni mwigizajiJe, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Tanzania ina ongozwa na Siro kubambikia watu kesi. Na kuzuia mikutano halali ya vyama vya siasa.Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Bora maana angepokelewa Kama Hichilema tusingekunywa majiJe, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Ngombe wa masikini siku zote hazai,wewe huoni hata UK wameiondoa Kenya kwenye red list na kuiweka kwenye amber list hivyo watalii wataanza kumiminika kenyaJe, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Kila mtu analipwa alichopanda. Rais Samia aliingia kwa mbwembwe akiahidi kuboresha haki za watu, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru ktk vyombo vya kutoa haki kama polisi mahakama na vinginevyo. Aliishia tu ktk midomo.Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?
Sio sababu. Kwani mwaka jana Mchina hakuwepo??Sababu kubwa hapo ni kwamba Marekani wanataka kumchomoa Mchina pale Zambia. Zambia imefika pabaya kwa Mchina. Sasa Marekani na Uingereza hawajafurahishwa na kiasi hicho cha nguvu ya Mchina pale Zambia. Kwa hiyo lazima HH awekwe mtu kati kisawasawa.
😅😅😅jamaa umeongea kwa huzuni kweli.Ngombe wa masikini siku zote hazai,wewe huoni hata UK wameiondoa Kenya kwenye red list na kuiweka kwenye amber list hivyo watalii wataanza kumiminika kenya
Tuliwambia anayegombana na Mbowe hawezi kubaki salama. Hata Jpm aliogopa kabisa akawa anafanya kwa kificho.Laana Ya Free Man Inaendelea Kuwatafuna,
... kwa dunia ya leo kuna phrases tatu za msingi (keywords) kiongozi ukiziishi kwa kumaanisha utaheshimika duniani; DEMOKRASIA, HAKI (za binadamu), UTAWALA BORA. Heshima ya Rais wa Zambia inatokana na phrases hizo, nothing more.Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheahimisha Duniani?