kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Je, Watanzania na Wana CCM kipekee, kwanini mapokezi na mialiko anayopewa Rais wa Zambia haijakuwepo kwa Rais wetu? Nini special Zambia wamefanya kinachowaheshimisha Duniani?
Hatutamani na sisi Rais wetu angekuwa kwenye vichwa vya habari vya Dunia kama Hichelema? Mama ameikosea wapi sayari hii hadi jina la Tanzania halipo kwenye mijadala pamoja na kuhutubia UN? Tumewakosea wanaokataa kutuheshimisha au Kuna Jambo la haki halipo Tanzania?