Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
9,623
Reaction score
13,759
Wakuu,

Japo wapo baadhi ya watu ambao hawakuwa Marais wa Marekani lakini wamewekwa kwenye noti za Marekani.

Humu ndani wako wachambuzi wazuri sana wa historia, wanaoweza kutoa ufafanuzi ni mambo gani yanamfanya mtu kuwa na sifa ya kuwekwa kwenye noti.
 
Hiyo
100-american-dollars-banknote-obverse-1-433x180.jpg
 
America wanautaribu huo wanaangalia mchango wa mtu katika taifa,ndo maana unawaona hao kama saizi wanampango wa kuweka kwenye hela yao picha mwanamke wa kiafrika ndo atakuwa mwanamke wa kwanza mwafrika kuwekwa kwenye dollar .alitoa mchango mkubwa kwa America pia ujasiri wake kwenda kuwatoa wafungwa wenzake waliofungwa minyororo enzi za utumwa.
 
Back
Top Bottom