Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Maraisi wa kwanza wa marekani kabla ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
😵 😵 😵 😵
 
Abraham Lincoln hakuwa mweusi.
Washington ndio Rais wa kwanza wa USA
 
Abraham Lincoln hakuwa mweusi.
Washington ndio Rais wa kwanza wa USA
Mkuu jaribu kuwafuatilia hao niliowataja hapo vizuri history zao (kwa lincoln ndiyo maana nikatumia neno "inavyosemekana" that means si 100% kuwa alikuwa mweusi)
 
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
 
Huyu ni katika watu muhimu sana waanzilishi wa USA na alikuwa msomi mkubwa na mgunduzi. ana mchango mkubwa leo hii inaitwa big nation USA. hakuwa Rais lakini kafanya mambo makubwa ndio heshima yake hii pamoja kwamba miaka 228 toka alivyofariki ila USA wanathamini mchango wake mkubwa.
Hili Taifa kina malengo ya miaka 200000 ijayo
 
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
Hyo ni kwa Marekani tu sio? Mana hapa kwetu namwona mzee Mwinyi kashapata siti kwenye fweza
 
Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Ahahahaaa, avatar yako inafanana na jibu lako, kweli ulabu unasaidia kuthink outside the box
 
Attachments

  • IMG_20180512_225440_172.jpg
    IMG_20180512_225440_172.jpg
    38.7 KB · Views: 61
Acha uongo wewe mkubwa
Mbona yupo sahihi kutoka wikipedia "Benjamin Franklin FRS FRSE (January 17, 1706 [O.S. January 6, 1705][1] – April 17, 1790) was an American polymathand one of the Founding Fathers of the United States. Franklin was a leading author, printer, political theorist, politician, freemason, postmaster, scientist, inventor, humorist, civic activist, statesman, and diplomat. As a scientist, he was a major figure in the American Enlightenment and the history of physics for his discoveries and theories regarding electricity"
 
Back
Top Bottom