Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Mbona yupo sahihi kutoka wikipedia "Benjamin Franklin FRS FRSE (January 17, 1706 [O.S. January 6, 1705][1] – April 17, 1790) was an American polymathand one of the Founding Fathers of the United States. Franklin was a leading author, printer, political theorist, politician, freemason, postmaster, scientist, inventor, humorist, civic activist, statesman, and diplomat. As a scientist, he was a major figure in the American Enlightenment and the history of physics for his discoveries and theories regarding electricity"
Jamaa alikuwa hajambo mpaka freemason [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Benjamin alikuwa na shughuli zake muhimu ndo maana kifesi chake on paper tena 100dorale
 
Maraisi wa kwanza wa marekani kabla ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
Thomas Jefferson ni rais wa tatu, George akiwa wa kwanza....hata Abraham alikuja baada ya george
 
Kaangalieni series moja inaitwa sleepy hollow wamecheza historia ya marekani miaka ya 1700 mtawaona hao kina benjamin franklin mambo ya freemason na wengine[emoji111][emoji111]
 
Mbona yupo sahihi kutoka wikipedia "Benjamin Franklin FRS FRSE (January 17, 1706 [O.S. January 6, 1705][1] – April 17, 1790) was an American polymathand one of the Founding Fathers of the United States. Franklin was a leading author, printer, political theorist, politician, freemason, postmaster, scientist, inventor, humorist, civic activist, statesman, and diplomat. As a scientist, he was a major figure in the American Enlightenment and the history of physics for his discoveries and theories regarding electricity"
nakubaliana na wewe kabisa. ila sijaelewa tofauti ya Father of nation and Founding Father... Kama mtu anaweza kutafsri hayo maneno kwa kiswahili
 
Wenzetu sio lazima uwe rais ndio picha yako iwe kwenye pesa, wanaangalia mchango wako ktk kuendeleza jamii nk.

Huyu Benjamin Franklin alikuwa mwana-sayansi na mwana-fizikia mahiri kuwahi kutokea ktk dunia hii na mtunzi mahiri wa vitabu na moja ya waanzilishi wa taifa la Marekani.

Pia atakumbukwa kwa jukumu lake ktk kuvumbua Umeme, Zima moto na hata kuanzisha chuo kikuu cha Pennsylvania na mambo mengine mengi ambayo siwezi kuyaorodhesha humu.

Sisi huku wasomi wetu wamekalia kujipendekeza, Umbeya na Unafiki, sifa hasi na feki ambazo Benjamin Franklin kamwe hakuwa nazo.
 
Kaangalieni series moja inaitwa sleepy hollow wamecheza historia ya marekani miaka ya 1700 mtawaona hao kina benjamin franklin mambo ya freemason na wengine[emoji111][emoji111]
Hiyo ni movie tu wahusika Sio halisia
 
Maraisi wa kwanza wa marekani kabla ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
Wewe acha kupotosha watu humu. Rais wa kwanza wa Marekani alikuwa George Washington 1789-1797 na alifuatiwa na John Adams 1797-1801 nk. Tatizo Watanzania hampendi kusoma na matokeo yake mnategemea vijiwe kama "Source of Information". This is very pathetic for the country as vast as Tanzania.
 
Wewe acha kupotosha watu humu. Rais wa kwanza wa Marekani alikuwa George Washington 1789-1797 na alifuatiwa na John Adams 1897-1801 nk. Tatizo Watanzania hampendi kusoma na matokeo yake mnategemea vijiwe kama "Source of Information". This is very pathetic for the country as vast as Tanzania.
Sooo sad! Is this the peak of your reasoning, And criticism ability?
 
So who discover america?
As per history itself many races reached america first i.e africans,chinese and norse explores.
And it seems umeuliza kwa kuwa unajua jibu ila unataka kujua zaidi .naweza kusema kuwa COLUMBUS alifikia BAHAMAS na ndiye mtu wa kwanza kuleta COLONIZSATION.
Short and clear.
 
Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Wewe acha kupotosha watu humu. Rais wa kwanza wa Marekani alikuwa George Washington 1789-1797 na alifuatiwa na John Adams 1897-1801 nk. Tatizo Watanzania hampendi kusoma na matokeo yake mnategemea vijiwe kama "Source of Information". This is very pathetic for the country as vast as Tanzania.
Halafu labda nikupe na nyongeza hii hivi unajua kuwa pia uingereza kulikuwa na first black royal family ambayo iliongoza uingereza?
Unataka ushahidi ?au unapinga na hili?
 
Back
Top Bottom