Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Mwaka 1775 wakati makoloni 13 ya Uingereza huko America yanajitangazia uhuru kutoka kwa Uingereza iliundwa Kamati ya watu 5 au The Comittee of Five iliyoundwa kuandaa mkataba wa kujitangazia Uhuru wa makoloni yao 13 au United States Declaration of Independence. Hii kamati ilihusisha
  • John Adams
  • Thomas Jefferson
  • Benjamin Franklin
  • Roger Sherman
  • Robert Livingston
Kamati iliyohusika kuchagua hao watu 5 iliundwa na watu 7 waliokuwa na ushawishi mkubwa kwenye hayo makoloni 13 wakati huo. Watu hao ndio wanajulikana kama Founding Fathers of the United States nao ni
  1. John Adams
  2. Benjamin Franklin
  3. Alexander Hamilton
  4. John Jay
  5. Thomas Jefferson
  6. James Madison
  7. George Washington
Hawa Founding fathers ndio walisaini mkataba kusitisha vita uliojulikana kama Treaty of Paris. Baada ya kupata uhuru wao, wakaitisha Bunge la Kwanza kabisa (United States Congress) ili kuunda serikali ya kwanza na katiba yao kuirekebisha.
George Washington ana tambulika kama Father of the Nation sababu alikuwa Jemedari (commander in chief) wakati wa mapigano.
Baada ya kumalizika na wamepata uhuru, aliachia ngazi jeshini na sehemu zote ili Mkutano uamue nani kuwa kiongozi wa nchi yao huru sababu hakuwa anataka uongozi yeye alipigana ili wawe huru.
Lakini kutokana na mchango wake na alivyokuwa anapendwa, Electoral College waliamua kumfanya kuwa Raisi wao wa kwanza (First president of the United States of America).
Cc: hearly
Mzee hapo umeua kabisa umeeleweka vyema agiza chochte nakuja kulipa
 

Attachments

  • IMG_20180515_125617.jpg
    IMG_20180515_125617.jpg
    567.1 KB · Views: 73
Wakati Franklin akiwa balozi wa US huko UK alianza mkakati wa US kujitawala. Alihamishiwa France ambako alishirikiana na wafaransa kupigania uhuru wa US.
Yeye ni mmoja wa watu waliandika tangazo la kujitawala na yeye ndo aliyekuwa kama katibu wa hiyo declaration of independence.
 
Acha uongo mbona kibaki kawekwa kwenye pesa na bado yuko hai?
Muwe mnasoma na kuelewa, Kibaki alikuwahi kuwa Raisi wa Marekani?? Pesa ya Kenya ina nguvu gani kwenye uchumi wa dunia??
 
Huyo jamaa alikuwa Rais wa state fulani before us haija unite, ni moja kati ya founding fathers of america ila pia alikuwa mwanasayansi na mchoraji ukisikia hasi na chanya basi jamaa ndio ali patent uo ugunduzi baada ya kufanya experiment ya kupaisha tiara(flying kite) wakati wa mvua na kupata shock, BEN Pia ni miongoni mwa wajenzi huru na wametoa mchango mkubwa sana kumsaidia GENERAL GEORGE WASHINGTON kupata uhuru na katiba imara, hio picha ya dola 20 uliyoweka Pia huyo hakuwa rais anaitwa Alexander hamiliton alikuwa secretary wa kwanza kwenye department of treasure marekani inao founding fathers not father, washingston he was among of them, kuna kina john adam aliyempokea washngton kijiti pia yupo thomas jefferson huyu pia yupo kwenye dola, Sambamba na rais bora kabisa kupata kutokea marekani abraham lincoln yeye sio founding na alikuwa rais awamu ya 16 unfortunely he served for one term na kuwa assasinated wakati anaanza second term
 
Kuna mdau hapo juu anapotosha iko ivi George washngton ndo rais wa kwanza na marekani rais mweusi ni obama tu, andrew jonhson huyu ni rais wa 17 ali hold ofice baada ya kifo cha lincon rais wa 16 huyo dwight einshower yeye ni rais wa 36 iv na ivi nafikiri alimpokea harry truman
 
Maraisi weusi wa marekani kabla na baada ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
Umecopy and paste without hata kufanya simple google achana na research...kuna mtu mweusi kweli hapo au ulikuwa unamaanisha kitu kingine?
 
Back
Top Bottom