Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Maraisi wa kwanza wa marekani kabla ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
Mwanangu hzi facts umezitoa wap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
labda kwa sababu alikiwa filiimanso.
ila huyu mdau ni baba wa taifa kabla ya uhuru marekani. na amekomaa na kifanikiwa umri ukiwa umeshaenda. Aliliwakilisha taifa lote kwa mkoloni huko UK.
kafanya mambo makubwa.
 
Mwanangu hzi facts umezitoa wap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona zipo online mkuu pia kuna vitabu vingi kama
1.the black history of the white house (kimeandikwa na clarance lusane)
2.black men built the capitol (kimeandikwa na jesse.j. holland)
3.the invisibles (mwandishi jesse.j.holland)
Vipo vitabu vingi na online documents ni wewe na utafutaji wako tu ila wengi wetu tumekariri yale tunayoyaona .na hatupendi kusoma na hata tukijua ukweli tunapinga .
 
You are reading the wrong books mzee.
Calvin Coolidge alikuwa Rais kabla ya Washington!!
Braza acha kusoma hivo vitabu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
You are reading the wrong books mzee.
Calvin Coolidge alikuwa Rais kabla ya Washington!!
Braza acha kusoma hivo vitabu
No! criticism without evidence BRO!
 
Maraisi wa kwanza wa marekani kabla ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
Ni kweli Raisi wa Kwanza wa The United States of America as we know it was George Washington
Kabla ya other colonies ku join the first 13 states kulikuwa tu na Continental Congress
 
Ni kweli Raisi wa Kwanza wa The United States of America as we know it was George Washington
Kabla ya other colonies ku join the first 13 states kulikuwa tu na Continental Congress
Simple and clear!
 
nakubaliana na wewe kabisa. ila sijaelewa tofauti ya Father of nation and Founding Father... Kama mtu anaweza kutafsri hayo maneno kwa kiswahili
Father of the nation, ni heshima apewayo rais baada ya kuitendea makubwa nchi yake. eg: George Washington and Julius Nyerere.

Founding Father, ni mtu ambae alianzisha au alisimamia harakati za taifa, au kampuni au taasisi. eg: Benjamin Franklin.
 
So who discover america?
Tafuta kitabu kinaitwa "History Of USA"... Kimeelezea mengi juu ya uvumbuzi Wa America...kiufupi kwenye hicho kitabu mvumbuzi anayetajwa ni muitaliano mmoja hivi wakuitwa Amerigo Vespucci na sio Christopher Columbus kama wengi tunavyoaminishwa.

Historia inabainisha kuwa hata jina America lilitokana na Jina la Amerigo ambaye alikuwa ni Cartographer (mtaalamu Wa ramani) ambaye alifika america hata kabla ya wakina Columbus.

Ukitaka maarifa zaidi soma hicho kitabu nafikiri kukipata ni mpaka kwenye maktaba kubwa, humo kuna mpaka masimulizi ya wale Vikings.
 
The fact is, alikuwa mzee sana by the time wana declare uhuru wao.. ila kwenye lile baraza la uhuru alikuwepo..
 
Maraisi wa kwanza wa marekani kabla ya george washington ni hawa .
1. John Hanson (a Moo).
2. Thomas Jefferson
3. Andrew Jackson
4. Abraham Lincoln (inavyosemekana alikuwa black)
5. Warren Harding
6. Calvin Coolidge
7. Dwight E. Eisenhower
Na wewe ni Great thinker ama great sinker!?

Mods hakuna ban kwa wanaopotosha umma!!?

Upuuzwe milele aise.
 
Pia kitu kingine ili Raisi awekwe kwenye dola au MTU wa kawaida wanaagalia mchango wake kwa Taifa.Pia hawekwi mtu ambae ni mzima hadi afariki.Maana yake wanasema ukimueka kama ni mzima halafu akaja kupata skendo hapa katikati na yupo kwenye pesa itakua aibu ya Dunia na inaeza kuathiri uchumi wao.
Mbona shiling hamsini ya Tanzania ina picha ya raisi wa awamu ya pili na bado yupo hai.
 
Back
Top Bottom