Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

Huyu alikuwa Baba wa Taifa la Marekani.. nadhni hata sisi ndio tuliiga hili jina from them.. alikuwa na akili sana.. na anamchango mkubwa ana kwenyw uchumi wa Marekani
Acha uongo wewe mkubwa
 
Zamani ilikuwa inaandikwa "IN GOD IS OUR TRUST" lakini Waziri wa fedha wa wakati huo Salmon Chase alifuta kwa mara ya kwanza "IS OUR" akaongeza "WE" likawa linasomeka neno "IN GOD WE TRUST" toka hapo huo ndio motto wa United States of America.
Unaambiwa huyu jamaa alimpasua sana kichwa Raisi wa wakati huo Abraham Lincoln sababu alikuwa anautaka sana uraisi wa USA. Aliamua mpaka kuweka picha yake kwenye note za marekani ili mradi watu wamjue!.
(Nazani hakukuwa na vigezo ni umaarufu wa mtu tu!).
Cc: Malcom Lumumba, zitto junior, JokaKuu
 
Kwa harriet tubman nadhani history yake inajieleza na ndiyo maana wakuweka (labda) kwa kuwa katika mission zote 13 za kuwakomboa watumwa (black americans) hakuwahi kukamatwa hata mara moja labda ndiyo sababu.
 
Ila jiwe akija kuweka devu lake kwenye noti yetu,nitahama nchi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom