google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Huyu ni katika watu muhimu sana waanzilishi wa USA na alikuwa msomi mkubwa na mgunduzi. ana mchango mkubwa leo hii inaitwa big nation USA. hakuwa Rais lakini kafanya mambo makubwa ndio heshima yake hii pamoja kwamba miaka 228 toka alivyofariki ila USA wanathamini mchango wake mkubwa.
Oohh kumbe huyu chalii
DahKwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana kwa comment yako nduguKwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
We jamaa chai sana[emoji28][emoji28][emoji28]Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Baba wa Taifa la Marekani ni George WashingtonHuyu alikuwa Baba wa Taifa la Marekani.. nadhni hata sisi ndio tuliiga hili jina from them.. alikuwa na akili sana.. na anamchango mkubwa ana kwenyw uchumi wa Marekani
Faru John au?Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
MmmmmhhhhhHuyu alikuwa Baba wa Taifa la Marekani.. nadhni hata sisi ndio tuliiga hili jina from them.. alikuwa na akili sana.. na anamchango mkubwa ana kwenyw uchumi wa Marekani
Na George Washington n nan sasa kama Benjamin Franklin ndo baba wa taifa la USA??????Huyu alikuwa Baba wa Taifa la Marekani.. nadhni hata sisi ndio tuliiga hili jina from them.. alikuwa na akili sana.. na anamchango mkubwa ana kwenyw uchumi wa Marekani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani sisi faru aliye kwenye elfu 5 aliwahi kuwa rais wetu? Au yule nyoka wa kwenye jero ya zamani?
Huyu nae kawekwa kwenye dollar?View attachment 775262 Harriet Tubman