Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
 
Kataa pombe naona umeamka nazo aisee

Hangover haijaisha
 
Hakuna note zinazobadilishwa mzee baba.
Inachofanya ni kuzitoa zile note zenye coin ambazo zina mzunguko mkubwa.
Mfano mdogo tu ni 500

Mia 5 inamzunguko mkubwa sanaa, hivyo inashikwa mara nyingi.
Then kwasababu hii, coin ni bora kuliko note.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ndio mzitoe mlikozichimbia, pesa inatunzwa benki sio kwenye kibubu.
 
Hakuna note zinazobadilishwa mzee baba.
Inachofanya ni kuzitoa zile note zenye coin ambazo zina mzunguko mkubwa.
Mfano mdogo tu ni 500

Mia 5 inamzunguko mkubwa sanaa, hivyo inashikwa mara nyingi.
Then kwasababu hii, coin ni bora kuliko note.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Noti ya Tsh 20 ,noti ya 200 na noti ya 500 mara ya mwisho kutumia wewe ilikuwa lini? Ebu nipigie picha ya noti ya Tsh 20 pembeni weka Shuka la mmasai(elfu 10) kisha post tuone kama zipo kwenye mzunguko.
 
Hazikutolewa kwenye mzunguko.
Sasa zinatolewa sanaa kwa kutumia sheria bora kabisa za nchi zilizo chini ya Raisi hodari na Daktari bingwa (PhD) Dr. Samia Suluhu Hassan.

Cc:- Lucas Mwashambwa
Aione kwenye jalada.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wanabadili noti ambazo hazijawa kwenye mzunguko Toka 2016. Noti zote zilizopo zina saini ya Dr Mpango na Benno Ndullu. Ni vigumu kupata noti yenye sahihi ya Dr Mgimbwa, Mkulo au Zakia Meghi na Daudi Balali. Kuna nini nyuma ya hii?
 
Back
Top Bottom