GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kataa pombe naona umeamka nazo aiseeEndeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
Pombe alizolewa mleta madaChanzo cha hii taarifa
Noti ya Tsh 20 ,noti ya 200 na noti ya 500 mara ya mwisho kutumia wewe ilikuwa lini? Ebu nipigie picha ya noti ya Tsh 20 pembeni weka Shuka la mmasai(elfu 10) kisha post tuone kama zipo kwenye mzunguko.Hakuna note zinazobadilishwa mzee baba.
Inachofanya ni kuzitoa zile note zenye coin ambazo zina mzunguko mkubwa.
Mfano mdogo tu ni 500
Mia 5 inamzunguko mkubwa sanaa, hivyo inashikwa mara nyingi.
Then kwasababu hii, coin ni bora kuliko note.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hazikutolewa kwenye mzunguko.Noti ya Tsh 20 ,noti ya 200 na noti ya 500 mara ya mwisho kutumia wewe ilikuwa lini? Ebu nipigie picha ya noti ya Tsh 20 pembeni weka Shuka la mmasai(elfu 10) kisha post tuone kama zipo kwenye mzunguko.