ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni.
Kwa mawazo yangu naona bia ni chakura iliyochanganywa na maji kidogo, labda.