Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Ni vile calories zinazopatikana kwa beer haziwezi kuwa converted glycogen, ni empty calories.Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni.
Kwa mawazo yangu naona bia ni chakura iliyochanganywa na maji kidogo, labda.
Hivyo mwili una zi treat kama fat, yaani alcohol sugar ina kuwa converted fat acids.
Ndio maana unaweza kupiga lita nyingi the same time utazitoa kwa njia ya mkojo maana kiuhalisia mwili hauzihitaji, nafikiri hii ndiyo inaweza kuwa sababu.