ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Tumbo la binaadamu haliwezi kupokea ujazo wa lita 5 ndani ya lisaa limoja, haiwezekani mkuu fanya utafiti zaidiSwali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko.
Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni.
Kwa mawazo yangu naona bia ni chakura iliyochanganywa na maji kidogo, labda.
Ni 10 mkuu, ml 500 ni nusu litreTrip za chooni zinakua ngapi? Pia lita tano ni chupa 20 zile kubwa. Yani kreti moja. Je unaweza gida kwa kasi hiyo?
Sure ni 10. Bia 10 ndani ya lisaa ? Hatari hiyo haiwezekani. Wastani wa bia 1 kila dakika 6.... Bila kupumzika.Ni 10 mkuu, ml 500 ni nusu litre
Nimemkataa mapemaSure ni 10. Bia 10 ndani ya lisaa ? Hatari hiyo haiwezekani. Wastani wa bia 1 kila dakika 6.... Bila kupumzika.
Na kwanin Bia zigeuzwe haraka zaidi kuwa mkojo kuliko maji na wakati vyote ni viminika mim nilizani maji ni rahisi zaidi kuchujwa na Figo kuliko pombe kuliza sio ujingaKwa sababu ni rashisi zaidi kubadili bia kua mkojo kuliko maji
Nin sababu ya pombe kuwa chanzo kimojawapo cha kuharibu FigoBia/alcohol ina tabia ya kukausha maji mwilini (dehydration) ukinywa utakojoa sana, kadiri mwili unavyopungukiwa maji ubongo unapelekewa taarifa kuwa mwili unahitaji maji so kwa wakati huo utaendelea tena kunywa bia (mzunguko huu ni endelevu) unapoteza maji na bado unakunywa kinywaji kinachokupelekea kupoteza maji.
Hii ni tofauti kidogo na maji, maji hayana dehydrating effect, unapokunywa maji mwili ukifikia hydration level inayohitajika, taarifa inatumwa kwenye ubongo kuwa mwili umepokea kiwango hitajika na hapo ndipo unajikuta umeacha kunywa maji unless kama unataka kujaza tumbo.
And this is the answer. Keep it up, lkn badili Hilo jina la MastaKirakaBia/alcohol ina tabia ya kukausha maji mwilini (dehydration) ukinywa utakojoa sana, kadiri mwili unavyopungukiwa maji ubongo unapelekewa taarifa kuwa mwili unahitaji maji so kwa wakati huo utaendelea tena kunywa bia (mzunguko huu ni endelevu) unapoteza maji na bado unakunywa kinywaji kinachokupelekea kupoteza maji.
Hii ni tofauti kidogo na maji, maji hayana dehydrating effect, unapokunywa maji mwili ukifikia hydration level inayohitajika, taarifa inatumwa kwenye ubongo kuwa mwili umepokea kiwango hitajika na hapo ndipo unajikuta umeacha kunywa maji unless kama unataka kujaza tumbo.
Kwanini maji hayana dehydrating effect na bear yenye 95% maji ina dehdrating effect?........mkuu sitasema kwamba unatupiga kamba ila fafanua zaidi hiyo 5% ya bear inacontent gani ya kuleta dehydration katika mwili wa binaadamu.Bia/alcohol ina tabia ya kukausha maji mwilini (dehydration) ukinywa utakojoa sana, kadiri mwili unavyopungukiwa maji ubongo unapelekewa taarifa kuwa mwili unahitaji maji so kwa wakati huo utaendelea tena kunywa bia (mzunguko huu ni endelevu) unapoteza maji na bado unakunywa kinywaji kinachokupelekea kupoteza maji.
Hii ni tofauti kidogo na maji, maji hayana dehydrating effect, unapokunywa maji mwili ukifikia hydration level inayohitajika, taarifa inatumwa kwenye ubongo kuwa mwili umepokea kiwango hitajika na hapo ndipo unajikuta umeacha kunywa maji unless kama unataka kujaza tumbo.
Maji hayana essential soutes za kufanya mkojo utengenezwe, kunywa maji mengi ndani ya muda mfupi hupelekea mchanganyiko mbovu wa solutes hali inayopelekea figo zako kushindwa kutoa mkojo wa haraka kwa ziada, matokeo yake utabaki umevimba tumbo.Nin sababu ya pombe kuwa chanzo kimojawapo cha kuharibu Figo
Kumbuka hiyo asilimia 5 ni alcohol , ukiitazama kwa udogo wake unaweza kusema 'Nikilamba sumu (polonium) kidogo sitopata madhara tofauti na nikilamba zaidi' effect ni zile zile kitakachobadilika ni muda tu wa reaction/end results kutokea.Kwanini maji hayana dehydrating effect na bear yenye 95% maji ina dehdrating effect?........mkuu sitasema kwamba unatupiga kamba ila fafanua zaidi hiyo 5% ya bear inacontent gani ya kuleta dehydration katika mwili wa binaadamu.
Maji Lita 5 namaliza ndani ya Nusu saa Ila BIA Lita 5 hata unipe siku nzima simalizii nitajitahidi sana robo glass, inategemea na mazoea tuKwa mawazo yangu naona bia ni chakura iliyochanganywa na maji kidogo, labda.