Kwanini Biashara ya Watumwa ya Waarabu haiongelewi shuleni?

Kwanini Biashara ya Watumwa ya Waarabu haiongelewi shuleni?

hii biashara haikuwa nzuri, imeleta machotara wengi mno wa kiarabu - yaonekama hawa jamaa walikuwa kila wakifika sehemu wanaamcha mbegu kwa dada zetu.

Sasa hawa machotara hawajui kwako, kama ni maskati, omani ama Tanga, Tabora, Bagamoyo, Kilwa, Igunga au Zenji.
Wewe unakujua kwenu ? Si mlizaliwa kwenye mbio Za mwenge Na wengine ni watoto wa makardinali Na mapadri
 
The fact that you have a demand for such kind of a commodity.
Yaani Leo wewe uwe na hitaji la mtoto wa kike wa miaka saba. Halafu uletewe, umnajisi na useme tumlaumu pia aliekuletea.
Unadhani hilo litapunguza ukatili wako?
Kwamba sasa mmegawana ukatili nusu Kwa nusu.
Kwanini uwe na hitaji hilo? Bila hitaji hilo, usingeuziwa.
Asante, haipunguzi ukatili upande wa mnunuzi. Ila tu sioni jinsi injavyopunguza ukatili upande wa mwuzaji. Kuuza mtoto wa jamii yako ?
Na kosa pekee upande wa mnunuzi??
Eee ndugu .....
 
Asante, haipunguzi ukatili upande wa mnunuzi. Ila tu sioni jinsi injavyopunguza ukatili upande wa mwuzaji. Kuuza mtoto wa jamii yako ?
Na kosa pekee upande wa mnunuzi??
Eee ndugu .....

Hakuna aliesema inapunguza ukatili kwa upande wa muuzaji, jamii za kiafrika pia kuna ushahidi kuwa baadhi yao zilikuwa zinakula watoto wao (cannibalism). Bado hii haiondoi uwepo wa biashara hiyo.
Ingawa pia kuna ushahidi mkubwa sana kuwa asilimia kubwa walitekwa. Utekaji huu upo sana mpaka sasa Sudan(Janjaweed) na Nigeria kaskazini (Boko haram), na pia Levant (Daesh).
Utekaji wa wasichana ulikuwepo kwenye Arabian Slave trade na bado upo.
 
History taught in schools these days is so misleading, walimu wanakaririsha point tu wanafunzi wafaulu wengine wanafundisha kwa hisia na kwa reference za story za vijiweni[emoji28][emoji28].
 
Hakuna mtu asie na ubaguzi kama mwarab, ndio maana hata hapa Tanzania kuna machotara wengi wa Kiarabu kulikon wa kihindi au Kizungu.
Mwarab ana kizaz kila kona ya Tanzania hii.
Hadi Sikonge Tabora wapo[emoji28][emoji119]
 
Mfuate uko alipo + nyerere wenu. Imewauma mno muisilamu kuongoza nchi. Mutake musitake ndiyo raisi wenu bandugu, na nimefurai mno yeye kujiita mzanzibari. Ingawa mimi ni mmbara.

Lisikieni hili choko
 
Imekugusa ee,,,Habari ndiyo iyo,, so, acheni chuki zczokuwa na maana.

Huna akili mnaleta uislamu kwenye nchi hii na ndo maana mnekataza makabila makubwa wachagga, wahaya na wanyakyusa wasiongoze kwasababu population yao kubwa ni wakristo. Mnajua wakiongoza nchi wataleta maendeleo nchi nzima na sio pwani peke yake
 
Huna akili mnaleta uislamu kwenye nchi hii na ndo maana mnekataza makabila makubwa wachagga, wahaya na wanyakyusa wasiongoze kwasababu population yao kubwa ni wakristo. Mnajua wakiongoza nchi wataleta maendeleo nchi nzima na sio pwani peke yake

Haya ni mawazo yako binafsi, wala hayana maana.
 
Watumwa waliopelekwa uarabuni walikuwa wachache sana.
 
Back
Top Bottom