Kwanini Biblia imewapiga vita wenye Pepo wa Utambuzi? Na tofauti yao na wachawi ni ipi?

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,375
Reaction score
4,784
Kwenye biblia agano la kale utaona ya kwamba Bwana alitukataza kuambatana na wenye pepo ya utambuzi na akatukataza pia kuambatana na wachawi, ili tusipate unajisi.

Kwa maisha ya sasa, tumeona ya kwamba bado tuna watu wenye pepo ya utambuzi (sasa sijui hawa ndo waganga?) Na si kuna hawa manabii wa kileo ambao wana haya mapepo ya utambuzi? na watu wengi wakiwafuata, je wametiwa unajisi kwa kuwa waumini wa hawa manabii?

Na mtu anapataje kuwa na hili pepo la utambuzi ambao ni tofauti na uchawi.

Screenshot_20250628-191012_Biblia.jpg
 
Jibu lako ni kwamba dini zote zinapenda kujinadi kuwa zina monopoly ya ukweli.

Ndiyo maana kwenye Ukristo utaambiqq Yesu ndiye njia pekee ya kufikia uzima wa milele.

Kwenye Uislamu utaambiwq hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ndiye mtume wake.

Na yote hayo, nikitaka kusema kitafsida na kiheshima nitasema ni maneno ya imani tu ambayo hayathibitishiki kimantiki.

Nikitaka kusema ukweli mfupi kwa lugha ya kawaida nitasema ni uongo mtupu.
 
Kwasababu lengo la waandishi ilikuwa ni kuifanya Biblia iwe ni kitabu pekee cha kuaminika zaidi na kitachodumu muda mrefu.

Ushirikina ni imani iliyokuwepo kabla ya ujio wa Bible.

Mbinu ya kwanza ya kufanikisha hilo ilikuwa ni kuua upinzani. (Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya)
1751139683446.png

Kuweka mkazo ikabidi waje na sheria ngumu.
1751138777786.png

Thanks kwa tag: min -me
 
Biblia imejaa Contradictions nyingi sana. Ndio maana inaleta sintofahamu kwenye mambo mengi.

Na hii yote ni dhahiri kwamba Biblia ni maandiko ya watu tu, yaliyojaa mkanganyiko.
Ume generalise, ni kweli kuna contradictions nyingi, ila nilichouliza nacho kina contradiction?
 
Jibu lako ni kwamba dini zote zinapenda kujinadi kuwa zina monopoly ya ukweli.

Ndiyo maana kwenye Ukristo utaambiqq Yesu ndiye njia pekee ya kufikia uzima wa milele.

Kwenye Uislamu utaambiwq hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ndiye mtume wake.

Na yote hayo, nikitaka kusema kitafsida na kiheshima nitasema ni maneno ya imani tu ambayo hayathibitishiki kimantiki.

Nikitaka kusema ukweli mfupi kwa lugha ya kawaida nitasema ni uongo mtupu.
Ni sawa mkuu, naelewa mambo hayapo perfect, ila nilitaka kujibiwa hayo masuala ha pepo wa utambuzi na uchawi maana vimetajwa sana kwenye agano la zamani.
 
Kwasababu lengo la waandishi ilikuwa ni kuifanya Biblia iwe ni kitabu pekee cha kuaminika zaidi na kitachodumu muda mrefu.

Ushirikina ni imani iliyokuwepo kabla ya ujio wa Bible.

Mbinu ya kwanza ya kufanikisha hilo ilikuwa ni kuua upinzani. (Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya)
View attachment 3387418

Kuweka mkazo ikabidi waje na sheria ngumu.
View attachment 3387406

Thanks kwa tag: min -me
Hahaha kwahiyo mkuu wewe unaona ni sawa watu wakiwafuata wenye pepo wa utambuzi na wachawi?
 
Ni sawa mkuu, naelewa mambo hayapo perfect, ila nilitaka kujibiwa hayo masuala ha pepo wa utambuzi na uchawi maana vimetajwa sana kwenye agano la zamani.
Nimekujibu ila labda hujaelewa.

Ni hivi, Biblia inataka kuwa na monopoly ya ukweli kwamba inachosema yenyewe ndiyo ukweli hao wengine ni mapepo tu.

Ndiyo maana ukaambiwa Yesu ndiye njia pekee ya kupata uzima wa milele.

Hii ni tabia ya dini.

Huelewi wapi?
 
Maana yake wewe unapingana na Biblia?
 
Back
Top Bottom