Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Poleni sanaKwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sanaKwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
Na bado wakawa hawahitaji uokozi 🤣Kondoo watatu wameokolewaView attachment 2602698
Akikujibu nistueWapi bibilia ilipokuita wewe kondooo?
Kondoo sio mbishi ni mtiifu mbuzi ni mbishiKwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
MakondooKwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
Kondoo ni mnyama mpole na mstaarabu, katika uyahudi ya kale alichukuliwa kama alama ya Hekima, upole na utii.Kondoo ni Kwa wale tuu wanaomkubali Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wao na kumfuata , sio kumkubali tuu na kumfuata , wasiofanya hvyo inawafananisha na mbuzi , why kondoo na why Mbuzi , lejea sifa za kondoo na rejea sifa za mbuzi
Kondoo ni wafuasi wa Yesu wasiowafuasi wake uitwa Mbuzi.Kwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
KondooAisee, nina hamu na nyama ya kondoo, let me do the needful
Imekuita ww kondoo🤣🤣🤣🤣.Kwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
Punguza hasira dini hazijaleta umasikini wako ni ubongo wako nd changamoto.Makondoo si yameinama muda wote unayaswaga tu
ukiyaambia yasile hayali
Hizi dini muda mwingine yani mtihani kweri kweri
ShameSasa mlitaka muitwe nini kama sio makondoo kwani matendo yenu na mitume yenu ya michongo hamjioni nyi ni makondoo