Kwanini Biblia inatuita kondoo?

Kwanini Biblia inatuita kondoo?

Kondoo ni Kwa wale tuu wanaomkubali Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wao na kumfuata , sio kumkubali tuu na kumfuata , wasiofanya hvyo inawafananisha na mbuzi , why kondoo na why Mbuzi , lejea sifa za kondoo na rejea sifa za mbuzi
Kondoo ni mnyama mpole na mstaarabu, katika uyahudi ya kale alichukuliwa kama alama ya Hekima, upole na utii.
 
Wale wa shetani wao uitwa Mbuzi na wanatumia alama ya mbuzi kama utambulisho wao. Alama ya vidole viwili juu, ilimuniati, freemason, vyama vya kichawi , wasanii utumia alama ya mbuzi kupiga saluti kwa shetani.
 
Hata Yesu aliitwa Mwanakondoo.

Kondoo ni Mnyama wa kufugwa asiye na mapepe, msikivu, ambaye hata akichinjwa Hana makeke, hapigi kelele...
Kondoo pia ni mmoja ya Wanyama wapole.
 
Kondoo ni mnyama anayechungwa kwa kuongozwa hawezi kuishi mwenyewe bila kuongozwa.
 
Aisee, nina hamu na nyama ya kondoo, let me do the needful
Kondoo
JamiiForums-1778204370.jpg
 
Makondoo si yameinama muda wote unayaswaga tu
ukiyaambia yasile hayali
Hizi dini muda mwingine yani mtihani kweri kweri
Punguza hasira dini hazijaleta umasikini wako ni ubongo wako nd changamoto.
 
Back
Top Bottom