Wana jukwaa nimekuwa kimya mda wa siku kadhaa ni baada ya kuwa nilikuwa nafanyiwa upasuaji ili kutoa sumu ilokuwa mwilini mwangu.
Hii ni mara ya pili nafanyiwa upasuaji na namshukuru mungu zote zimeenda sawa.
Nawashukuru wote kwa michango yenu ya maombi na michango ya kifedha. Mlionichangia wote mungu awabariki na awaongezee mara dufu. Na kwa wasioamini mungu na mkatoa mchango wa aina yeyote kwangu huyo mnaemwamini na kumuabudu awaongezee zaidi.
Ombi langu kwa sasa wana jamii forum ni kuwasihi kuwa na ushirikiano tupendane, tuheshimiane mda wote pasipo kuangalia mtu kijinsia, kiimani, kisiasa, kiumri,kisura, kimilinial,ki gen z na mengne mengi.
Bila ushirikiano mda huo nisingetolewa haya madude niliyokumbana nayo mo29 2025. Hadi mda huu napumua nakutembea kwa maombi ya wengi na huduma kutoka mdm hos.
Msimamo siku zote unasaidia mtu na nawashauri kwa niliyopitia mimi kila mtu awe na msimamo wake kwa mambo ya msingi na sio mambo ya kijinga na uchawa usiyo na maana kisa unasimu na bundle la mkopo.