Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Pole mkuu, ila simu zetu za mkopo hazijakubugudhi
wewe ndi unakuza hili la uchawa. Kuna sehemu nimesema walionisaidia n machawa ndugu? Naomba urudie kusoma tena uelewe.Mtu kakusaidia kupitia mpaka uchawa tena anakuwa adui yako.!?
asante mkuu kuhusu simu ni kwa wale wanaosema jambo ambalo cha kwanza hawana uhakika nalo simu hata kama ni ya mkopo na unaitumia kwa mambo ya msingi ni freshPole mkuu, ila simu zetu za mkopo hazijakubugudhi
"niliyopitia mimi kila mtu awe na msimamo wake kwa mambo ya msingi na sio mambo ya kijinga nauchawa usiyo na maana kisa unasimu na bundle la mkopo"
Chochote ulicho nacho toka mtaan ukajigambe utakuja kunishukuru ukiwa tayar umenielewakivipi mkuu
sijakuelewa bro nifafanulie kidogo plzChochote ulicho nacho toka mtaan ukajigambe utakuja kunishukuru ukiwa tayar umenielewa
asante ndugu nshapoaPole sana kwa yaliyokusibu
Mshana Jr anayo majibu yakosijakuelewa bro nifafanulie kidogo plz
Sijashindwa kukujibu tatizo unauliza vitu vidogo visivyo na maana ndio maana nikakwambia umuulize huyo labda ataona busara kukujibuwe utasemaje kitu hujui ati mpaka Mshana Jr kwani mna share akili na mawazo yenu.
ok sawa bt from your coments kuna kitu nimejifunzaSijashindwa kukujibu tatizo unauliza vitu vidogo visivyo na maana ndio maana nikakwambia umuulize huyo labda ataona busara kukujibu