asante na tahadhari ya kuchukua ni ipi na kwa lipi?Pole na endelea kuchukua tahadhari
. Sumu ya risas ndugu. Ok nimekaa na risas mwilin for more than 4months bt atalast imetolewa.Huo upasuaji wa kutoa sumu ndio upi?
pole mkuu. Sumu ya risas ndugu. Ok nimekaa na risas mwilin for more than 4months bt atalast imetolewa.
asante sanapole mkuu
kivipi mkuuUchawi, na tamaa za kipuuzi tu ndio chanzoo
Pole sana mkuu. Sumu ya risas ndugu. Ok nimekaa na risas mwilin for more than 4months bt atalast imetolewa.
kuna haja gani shetani umpake rangi?We umotoka kupata usaidizi hata wa kifedha na bado unaita watu Machawa.!
Unajuaje Kuna chawa Alihusika na msaada na umeshukuru tena unamtukana hapohapokuna haja gani shetani umpake rangi?
msimamo kwa wafuata mkumbo ni ndoto gentleman,Wana jukwaa nimekuwa kimya mda wa siku kadhaa ni baada ya kuwa nilikuwa nafanyiwa upasuaji ili kutoa sumu ilokuwa mwilini mwangu.
Hii ni mara ya pili nafanyiwa upasuaji na namshukuru mungu zote zimeenda sawa.
Nawashukuru wote kwa michango yenu ya maombi na michango ya kifedha. Mlionichangia wote mungu awabariki na awaongezee mara dufu. Na kwa wasioamini mungu na mkatoa mchango wa aina yeyote kwangu huyo mnaemwamini na kumuabudu awaongezee zaidi.
Ombi langu kwa sasa wana jamii forum ni kuwasihi kuwa na ushirikiano tupendane, tuheshimiane mda wote pasipo kuangalia mtu kijinsia, kiimani, kisiasa, kiumri,kisura, kimilinial,ki gen z na mengne mengi.
Bila ushirikiano mda huo nisingetolewa haya madude niliyokumbana nayo mo29 2025. Hadi mda huu napumua nakutembea kwa maombi ya wengi na huduma kutoka mdm hos.
Msimamo siku zote unasaidia mtu na nawashauri kwa niliyopitia mimi kila mtu awe na msimamo wake kwa mambo ya msingi na sio mambo ya kijinga na uchawa usiyo na maana kisa unasimu na bundle la mkopo.
kuna haja gani nimsifie mtu kwa mambo mazuri ambayo hajafanya. Siku zote adui yako anajificha ndani ya watu wako walio wemaUnajuaje Kuna chawa Alihusika na msaada na umeshukuru tena unamtukana hapohapo
Mtu kakusaidia kupitia mpaka uchawa tena anakuwa adui yako.!?kuna haja gani nimsifie mtu kwa mambo mazuri ambayo hajafanya. Siku zote adui yako anajificha ndani ya watu wako walio wema
umesema kama watu kumi bro big ups sanamsimamo kwa wafuata mkumbo ni ndoto gentleman,
mihemko yao ya kinyumbu huwafanya daima kutokua na msimamo bali kubebwa ufala wa kifikra na wajanja, na daima wakijikuta wakikurupuka mithili ya nyumbu, na kujikuta katikati ya mdomo wa simba au mamba na hatimae kujiangamiza wenyewe kilofa kabisa.
pamoja na hali hiyo ya ulofa wa wafuata mkumbo, inatulazimu kama taifa, kupendana kama watoto wa mama moja Tanzania