Kwanini binadamu tunakuwa na roho chafu dhidi ya binadamu wenzetu?

Mtu kakusaidia kupitia mpaka uchawa tena anakuwa adui yako.!?
wewe ndi unakuza hili la uchawa. Kuna sehemu nimesema walionisaidia n machawa ndugu? Naomba urudie kusoma tena uelewe.
 
Ushaambiwa shuka kwene gari na ukimbie na ukiangalia anaekwambia n afande hayuko mmoja we udhani n utani mara ya mwisho usikie paja limeganda kumbe tayar ushapgwa raisass ndo ilikuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…