Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.