Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Mkuu una umri gani?.?
Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishw
 
Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Kwahiyo janja yako unataka wakati mwenzio analalia mayai we uwe unachepuka...!
 
..nimepiga picha na taswira ya dada yako anavyotaga kisha akaanza kuatamia! 😂😂😂🤣...kama kuku wa kienyeji vile anavyojikwinya!

Utanisamehe mkuu kwa maana sikuwa na mwingine wa kumpigia taswira😆😆
 
..nimepiga picha na taswira ya dada yako anavyotaga kisha akaanza kuatamia! 😂😂😂🤣...kama kuku wa kienyeji vile anavyojikwinya!

Utanisamehe mkuu kwa maana sikuwa na mwingine wa kumpigia taswira😆😆
Hata mama huna?
 
Kwahiyo janja yako unataka wakati mwenzio analalia mayai we uwe unachepuka...!
Siyo mpaka aatamie. Mamba haatamii. Tungekuwa tunataga ile kazi ya kuijaza dunia ingeshakamilika. Ila najiuliza iwapo kuna social animals ambao wanataga, wapo?
 
Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Wangekua wanataga mayai tungekua tunayala kama tunavokula mayai ya kuku

Halafu mwisho wa siku watu duniani wangekua wachache sana
 
Kutaga mayai ni evolutionary disadvantage,, sababu kwenye lineage ya evolution from fish to mammalian,, moja ya aim ilikuwa ni kuongeza survival rate ya offspring na kuacha kutegemea maji kwa ajili ya reproduction,,

That's why survival rate ya human akiwa tumboni ni kubwa kuliko chura anaetagia kwenye maji, au reptile na birds ambao they developed calcium shell (egg shell) kwa ajili ya protection of the egg
 
No, anatamani kuwa kenge [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio maana wazungu mambo binafsi ya mtu wameshaachana nayo kabs maana binadamu haeleweki anataka nn ss huyu anataka kuwa njiwa 😄😄😄 sijui tumchagulie rangi gani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu uliwakosea nini awa watu?
Mpaka leo Sijajua mkuu,Ila kuna mod mmoja humu siku hizi nae sijui kapigwa Ban....Basi yaishe mzee wasije wakanisikia.
 
Back
Top Bottom