Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtazamoKutaga mayai ni evolutionary disadvantage,, sababu kwenye lineage ya evolution from fish to mammalian,, moja ya aim ilikuwa ni kuongeza survival rate ya offspring na kuacha kutegemea maji kwa ajili ya reproduction,,
That's why survival rate ya human akiwa tumboni ni kubwa kuliko chura anaetagia kwenye maji, au reptile na birds ambao they developed calcium shell (egg shell) kwa ajili ya protection of the egg
Hapa unapoint. Lakini kulikuwa na ndege wakubwa kama Elephant birds au huyu mbuni. Mayai yao makubwa na magumu kama mawe. Kwangu naona yanaoffer protection nzuri kuliko mjamzito asiyeweza kujilinda wala kukimbia.Kutaga mayai ni evolutionary disadvantage,, sababu kwenye lineage ya evolution from fish to mammalian,, moja ya aim ilikuwa ni kuongeza survival rate ya offspring na kuacha kutegemea maji kwa ajili ya reproduction,,
That's why survival rate ya human akiwa tumboni ni kubwa kuliko chura anaetagia kwenye maji, au reptile na birds ambao they developed calcium shell (egg shell) kwa ajili ya protection of the egg
Yeeeh inaathiri,, release ya oxytocin hormone during pregnancy ni muhimu for any social bonding,,Kwa mtazamo
Hapa unapoint. Lakini kulikuwa na ndege wakubwa kama Elephant birds au huyu mbuni. Mayai yao makubwa na magumu kama mawe. Kwangu naona yanaoffer protection nzuri kuliko mjamzito asiyeweza kujilinda wala kukimbia.
Je namna ya kuzaliwa inaathiri bond ya mama na mtoto?
Mjamzito anauwezo wa kumove na huyo offspring,, ukilinganisha na mayai ambayo yako prone na environmental stressKwa mtazamo
Hapa unapoint. Lakini kulikuwa na ndege wakubwa kama Elephant birds au huyu mbuni. Mayai yao makubwa na magumu kama mawe. Kwangu naona yanaoffer protection nzuri kuliko mjamzito asiyeweza kujilinda wala kukimbia.
Je namna ya kuzaliwa inaathiri bond ya mama na mtoto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🧃Wadada wangekuwa wanatuambia: "Njoo uchukue Yai lako, linanisumbua."
Jitoleo kumfundisha classification hasa kingdom animalia manaa jamaa atakua alikimbia hii topicKwasababu Binadamu ni Mamalia. Ukitaka Atage ni sawa na Tembo nae Atage ushawaza Yai la Tembo litakuwaje na ataliatamiaje kulipa Joto mpaka litotoe?
Pia kumbuka, viumbe wanaotaga hawatagi Yai 1 ni Mayai. Sasa uwe unafikiria cha kuandika humu ndugu.
Kwa maana nyingine ni kwamba unatamani kuwa ndege [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani ni mwanaume huyu? Mimi nilijua baada ya kuzaa ndo kaona hatari anataka kutaga sasa.Aisee
Kichwa Cha Familia hiki
Yupo bar anaupiga mwingiUpo bia ya ngapi?