Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Huwezi sema it is disadvantage wakati tuna kuku na viumbe wengine bado wanataga mayai
 
Ona umeshamleta Mungu kwenye mambo ya kisayansi kama haya... Hapo hujatoa jibu lolote zaidi ya kusifia kitu kisichokuwepo
 
Ndege sio mabaki ya dinosaurs ila wame evolve from reptiles (dinosaurs wakiwemo) kama sie tulivyo evolve from birds
Wewe acha ubishi birds are Avion dinosaur kama T-Rex. Reptile is a big phylum ambapo ndio kuna hawa mijusi na ndege. Though for simplicity ndege akawa na phylum yake
 
Kitu pekee naona ni kuwa wanyama wanaozaa wanaakili kuliko wanaototolewa. Je ukuaji wa akili ndiyo umefanya wengine wazae na wengine watage?
Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
 
Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
Nakubali hapo. Evolution inahakikisha kusurvive na reproduction. Japo inafanyika randomly, na wengi wanapotea hapo kati lakini hizo ndiyo goals zake.
 
Usijilimit mawazo yako na wanaojibu upuuzi ni wapuuzi wao. Wenye akili wameelewa na tumekuwa na mjadala mzuri.
Huu uzi watu wanaogopa kujifunza vitu. Tatizo ni lile lile hatuna radical thinkers. Ndio maana Afrika hatuendelei. Mtoa mada umeleta mada nzuri ya kuchangamsha Bongo ila wabongo wenyewe wapo busy na msimamo wa maamuzi ya Mungu [emoji23][emoji23]
 
Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
Watagaji wanaweza tokeza kiumbe mwenye akili kama binadamu?
 
Inasikitisha sana.
 
Tungekuwa wengi mara millioni zaidi ya idadi tuliyonayo
 
Mfumo wa uzazi wa mwanadamu lazima uendane na mfumo wa damu. Vingenevyo mtoto hatadurvive.
Fact yani lazima cells zifanye kazi kwa pamoja to ensure survive that is how ans why multicellular was possible. Also advancement ya system evolutionary is gradual change mfano tusingeweza kuzaa kama mfumo wa mayai usingekuwepo so evolution ikatokea kupata mayai magumu mpaka ikatokea wengine kuzaa na kama marsupial wao wanazaa na kuhifadhi mtoto kwenye fuko tumboni
 
Watagaji wanaweza tokeza kiumbe mwenye akili kama binadamu?
Yes, possible kuwa na intelligence ila kuwa kama binadamu I think evolution has to redo many things kufika convergent evolution.

Ila kama miaka billion 2 ijayo dunia ikiwa bado condusive sitoshangaa kuwa samaki wameevolve kuwa intelligent na nyama amefika uwezo wetu wa akili japo amebakisha mkia. Na sokwe amepoteza manyoya yote ameanza fanana na binadamu na hiyo ndio inaitwa convergent evolution
 
Wewe acha ubishi birds are Avion dinosaur kama T-Rex. Reptile is a big phylum ambapo ndio kuna hawa mijusi na ndege. Though for simplicity ndege akawa na phylum yake
Ndege ame evolve from archaepteryx,, kaangalie huyo archaepteryx kama ana resemble na dinosaurs,,,,, scientific walikuwa wanahangaika kupata link kati ya reptiles na aves till walipompata huyo [emoji23][emoji23][emoji23] eti T-Rex [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe lecturer wako ni nani?[emoji23][emoji23]
 
Huwezi sema it is disadvantage wakati tuna kuku na viumbe wengine bado wanataga mayai
Kabla ya kuleta utopolo nijibu swali hili,,, aim ya nature kufanya organism wa evolve kutoka kutoa gelatinous eggs(fish and amphibians) to calcium shell(aves and reptiles) to storing eggs kwa placenta(mamals) ,, na kutoka kufanya external fertilisation to internal fertilisation ilikuwa ni nini?
 
Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
So na wewe unarudi kwa lamark kwamba evolution ni blind force [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili swali liko nje ya uwezo wetu. Labda ungeuliza kabla ya kuwako ulimwengu
 
Mfumo wa uzazi wa mwanadamu lazima uendane na mfumo wa damu. Vingenevyo mtoto hatadurvive.
Mfumo wa damu wa mamba and reptiles ni the same (closed double looped) but still wanataga,, the same kwa avian and they evolved waay back before mamals
 
Anza wewe basi tuweze kuangalia namna inavyokuwa.

Unataga tray zima unauaga umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…