edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Angalia hapoTunahusiana na nani,,?? Tuna lineage ile ile ya from fish hadi kuwa mamals
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hapoTunahusiana na nani,,?? Tuna lineage ile ile ya from fish hadi kuwa mamals
Huwezi sema it is disadvantage wakati tuna kuku na viumbe wengine bado wanataga mayaiKutaga mayai ni evolutionary disadvantage,, sababu kwenye lineage ya evolution from fish to mammalian,, moja ya aim ilikuwa ni kuongeza survival rate ya offspring na kuacha kutegemea maji kwa ajili ya reproduction,,
That's why survival rate ya human akiwa tumboni ni kubwa kuliko chura anaetagia kwenye maji, au reptile na birds ambao they developed calcium shell (egg shell) kwa ajili ya protection of the egg
Ona umeshamleta Mungu kwenye mambo ya kisayansi kama haya... Hapo hujatoa jibu lolote zaidi ya kusifia kitu kisichokuwepoAchilia mbali kuzaliwa.
Mwanaadamu ndiye kiumbe ambaye anachua muda mrefu zaidi kukua baada ya kuzaliwa ukilinganisha na viumbe wengine.
Mfano ng'ombe akizaliwa tu siku hiyohiyo atatembea kufuata maziwa ya make na kunyonya.
Ila mwanaadamu anazaliwa akiwa hajitambui na wala hakuna lolote analoweza kijifanyia, na inamchukua kipindiki kirefu mpaka aje kusimama mwenyewe....
Sasa kama unaakili utayatazama haya kwa mazingatio na kuona jinsi ulivyokuwa dhaifu na utarudi kuwa dhaifu.
Hivyo ndivyo mola wako alivyokuumba ili upate mazingatio.
Wewe acha ubishi birds are Avion dinosaur kama T-Rex. Reptile is a big phylum ambapo ndio kuna hawa mijusi na ndege. Though for simplicity ndege akawa na phylum yakeNdege sio mabaki ya dinosaurs ila wame evolve from reptiles (dinosaurs wakiwemo) kama sie tulivyo evolve from birds
Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaaKitu pekee naona ni kuwa wanyama wanaozaa wanaakili kuliko wanaototolewa. Je ukuaji wa akili ndiyo umefanya wengine wazae na wengine watage?
Nakubali hapo. Evolution inahakikisha kusurvive na reproduction. Japo inafanyika randomly, na wengi wanapotea hapo kati lakini hizo ndiyo goals zake.Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
Huu uzi watu wanaogopa kujifunza vitu. Tatizo ni lile lile hatuna radical thinkers. Ndio maana Afrika hatuendelei. Mtoa mada umeleta mada nzuri ya kuchangamsha Bongo ila wabongo wenyewe wapo busy na msimamo wa maamuzi ya Mungu [emoji23][emoji23]Usijilimit mawazo yako na wanaojibu upuuzi ni wapuuzi wao. Wenye akili wameelewa na tumekuwa na mjadala mzuri.
Watagaji wanaweza tokeza kiumbe mwenye akili kama binadamu?Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
Inasikitisha sana.Huu uzi watu wanaogopa kujifunza vitu. Tatizo ni lile lile hatuna radical thinkers. Ndio maana Afrika hatuendelei. Mtoa mada umeleta mada nzuri ya kuchangamsha Bongo ila wabongo wenyewe wapo busy na msimamo wa maamuzi ya Mungu [emoji23][emoji23]
Tungekuwa wengi mara millioni zaidi ya idadi tuliyonayoEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Fact yani lazima cells zifanye kazi kwa pamoja to ensure survive that is how ans why multicellular was possible. Also advancement ya system evolutionary is gradual change mfano tusingeweza kuzaa kama mfumo wa mayai usingekuwepo so evolution ikatokea kupata mayai magumu mpaka ikatokea wengine kuzaa na kama marsupial wao wanazaa na kuhifadhi mtoto kwenye fuko tumboniMfumo wa uzazi wa mwanadamu lazima uendane na mfumo wa damu. Vingenevyo mtoto hatadurvive.
Yes, possible kuwa na intelligence ila kuwa kama binadamu I think evolution has to redo many things kufika convergent evolution.Watagaji wanaweza tokeza kiumbe mwenye akili kama binadamu?
Ndege ame evolve from archaepteryx,, kaangalie huyo archaepteryx kama ana resemble na dinosaurs,,,,, scientific walikuwa wanahangaika kupata link kati ya reptiles na aves till walipompata huyo [emoji23][emoji23][emoji23] eti T-Rex [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe acha ubishi birds are Avion dinosaur kama T-Rex. Reptile is a big phylum ambapo ndio kuna hawa mijusi na ndege. Though for simplicity ndege akawa na phylum yake
Kabla ya kuleta utopolo nijibu swali hili,,, aim ya nature kufanya organism wa evolve kutoka kutoa gelatinous eggs(fish and amphibians) to calcium shell(aves and reptiles) to storing eggs kwa placenta(mamals) ,, na kutoka kufanya external fertilisation to internal fertilisation ilikuwa ni nini?Huwezi sema it is disadvantage wakati tuna kuku na viumbe wengine bado wanataga mayai
So na wewe unarudi kwa lamark kwamba evolution ni blind force [emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, intelligent life is based on brain structure. Ukumbuke kuwa evolution has no plan or goal. Cha muhimu ni kusurvive long enough na kuzaa
Hili swali liko nje ya uwezo wetu. Labda ungeuliza kabla ya kuwako ulimwenguEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Mfumo wa damu wa mamba and reptiles ni the same (closed double looped) but still wanataga,, the same kwa avian and they evolved waay back before mamalsMfumo wa uzazi wa mwanadamu lazima uendane na mfumo wa damu. Vingenevyo mtoto hatadurvive.
Anza wewe basi tuweze kuangalia namna inavyokuwa.Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Mkuu kama huna cha kuchangia soma tu.Anza wewe basi tuweze kuangalia namna inavyokuwa.
Unataga tray zima unauaga umaskini