Einstein Brains
Member
- May 29, 2022
- 9
- 11
Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishw
Baba kaenda kutafuta.
Au wanaona upo busy na simu sebuleni wanasema baba atakua anachat na madalali wa nyanya Ilula.
Kwahiyo janja yako unataka wakati mwenzio analalia mayai we uwe unachepuka...!Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Hata mama huna?..nimepiga picha na taswira ya dada yako anavyotaga kisha akaanza kuatamia! ππππ€£...kama kuku wa kienyeji vile anavyojikwinya!
Utanisamehe mkuu kwa maana sikuwa na mwingine wa kumpigia taswiraππ
No, anatamani kuwa kenge [emoji28][emoji28][emoji28]Kwa maana nyingine ni kwamba unatamani kuwa ndege [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siyo mpaka aatamie. Mamba haatamii. Tungekuwa tunataga ile kazi ya kuijaza dunia ingeshakamilika. Ila najiuliza iwapo kuna social animals ambao wanataga, wapo?Kwahiyo janja yako unataka wakati mwenzio analalia mayai we uwe unachepuka...!
Wangekua wanataga mayai tungekua tunayala kama tunavokula mayai ya kukuEti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa! Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu mnanipiga Ban humu,Hii haki kweli? Ningeyajuaje haya...
Ndio maana wazungu mambo binafsi ya mtu wameshaachana nayo kabs maana binadamu haeleweki anataka nn ss huyu anataka kuwa njiwa πππ sijui tumchagulie rangi ganiNo, anatamani kuwa kenge [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] looo!Baba kaenda kutafuta.
Au wanaona upo busy na simu sebuleni wanasema baba atakua anachat na madalali wa nyanya Ilula.
Mpaka leo Sijajua mkuu,Ila kuna mod mmoja humu siku hizi nae sijui kapigwa Ban....Basi yaishe mzee wasije wakanisikia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu uliwakosea nini awa watu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ee mungu!KENYA MAGAZETI YATAANDIKA HIVI: Watanzania Waomba Kutaga Mayai.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah!Mpaka leo Sijajua mkuu,Ila kuna mod mmoja humu siku hizi nae sijui kapigwa Ban....Basi yaishe mzee wasije wakanisikia.