Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Sio roho mbaya ila kubali tu kuwa hii ERA ni ya Nigeria kwa muziki wa Africa. Previously ilikuwa south Africa mara Congo na sasa ni wao.

Hapa East Africa kuna wasanii gani wenye impact kubwa kuwazidi burna boy, wizkid au davido. Je vipi upande wa kike, ni nani wa kumfananisha na Tiwa au Yemi. Tukubali Nigeria ni powerhouse kwa sasa
 
Pia kwa upande wa afrika mashariki tanzania ilisha jitengenezea ubingwa wa muziki lakini miaka ya hivi karibuni kuiga iga ndiyo kumetufikisha hapo maana hata hao wanaotusikiliza nje ya nchi hawawezi kuelewa utamaduni wetu ni upi hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo wapo wanaopostig watanzania wakipata bas tukubali wapo ambao wanapost wakikosa...TULIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tunaaminishwa mambo magumu na ya uwongo wakati mwingine ndo maana Yakima matokeo kama haya tunashindwa elewa inakuwaje...mtu kama main act kwenye matamasha makubwa(tuliaminishwa),mtu ana viewers Wa kutosha kwenye nyimbo zake YouTube na pengine hakuna msanii Wa Africa anayegusa(tuliaminishwa)..mtu kagonga show mbele ya sadio mane then kwenye category 4 hupati hata tuzo moja Mkuu HII NI HATARI ACHA TUENDELEE KUSHANGAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Of course kwa hao ulowataja kwao ni step kuwa nominated tu sikatai bt Vp kwa Diamond???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaelew ngoja waeleweshwe watakopy hadi Cinderella hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaalikwa Kwenye Tamasha na Wasanii Wenzio kama 8 Kisha unachukua Video na Kujisifu kua Wewe ndo Umejaza Uwanja peke yako alafu uje utegemee nini, uko hakuna Uswahili vigezo na Mashariti Vinazingatiwa

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Walikuwa wanajitekenya MFICHA MARADHI....TUZO HUMUUMBUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…