Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Very true. Sound city, MTV na BET africa ziko kwa ajili ya NIGERIA TU/West Africa, sisi hazituhusu kabisa wale jamaa wana roho mbaya sana wanajikuta wao ndo AFRICA.

Bora hata tuzo zinazoandaliwa na vituo vya SOUTH AFRICA jamaa wako fair sana. Wale jamaa waliandaa tuzo ili kujitangaza tu kampuni yao itambulike zaid east africa na central africa bas.
Sio roho mbaya ila kubali tu kuwa hii ERA ni ya Nigeria kwa muziki wa Africa. Previously ilikuwa south Africa mara Congo na sasa ni wao.

Hapa East Africa kuna wasanii gani wenye impact kubwa kuwazidi burna boy, wizkid au davido. Je vipi upande wa kike, ni nani wa kumfananisha na Tiwa au Yemi. Tukubali Nigeria ni powerhouse kwa sasa
 
Pia kwa upande wa afrika mashariki tanzania ilisha jitengenezea ubingwa wa muziki lakini miaka ya hivi karibuni kuiga iga ndiyo kumetufikisha hapo maana hata hao wanaotusikiliza nje ya nchi hawawezi kuelewa utamaduni wetu ni upi hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakichukua tuzo wa bongo hamuanzishagi Uzi wakuwasifia ila wakikosa nyuzi nyingi munaanzisha hii mnaonesha jinsi gani mlivyo wanafiki by the way kupata au kukosa ni Jambo la kawaida kwa kila tuzo Cha msingi nimefurahi watanzania wameingia wengi kwenye nominees Hilo kwangu nimeona Jambo zuri kuliko kutokuwa kwenye nominees.
Kama ambavyo wapo wanaopostig watanzania wakipata bas tukubali wapo ambao wanapost wakikosa...TULIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye awards kitu cha kwanza ni nominations ndio maana kuna wasanii wakubwa duniani kwenye bio zao utakuta "5 times oscar or grammy or billboards or mtv nominated".. Tuzo ni apprecciation so, kuwa nominated tu kwa mtu kama Nandy , Rayvanny, s2kizzy au marioo kwa Africa nzima ni step nzuri

Ukirudi kwenye kupata tuzo. Tukubali tu Nigeria na S.A wapo mbali na wana strong international acts wa kutosha. Record labels na production houses pia. Lugha inawasaidia plus wana ratings nzuri katika manunuzi ya muziki katika online platforns. Tukaze buti tu maana safari bado pevu
Tatizo tunaaminishwa mambo magumu na ya uwongo wakati mwingine ndo maana Yakima matokeo kama haya tunashindwa elewa inakuwaje...mtu kama main act kwenye matamasha makubwa(tuliaminishwa),mtu ana viewers Wa kutosha kwenye nyimbo zake YouTube na pengine hakuna msanii Wa Africa anayegusa(tuliaminishwa)..mtu kagonga show mbele ya sadio mane then kwenye category 4 hupati hata tuzo moja Mkuu HII NI HATARI ACHA TUENDELEE KUSHANGAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye awards kitu cha kwanza ni nominations ndio maana kuna wasanii wakubwa duniani kwenye bio zao utakuta "5 times oscar or grammy or billboards or mtv nominated".. Tuzo ni apprecciation so, kuwa nominated tu kwa mtu kama Nandy , Rayvanny, s2kizzy au marioo kwa Africa nzima ni step nzuri

Ukirudi kwenye kupata tuzo. Tukubali tu Nigeria na S.A wapo mbali na wana strong international acts wa kutosha. Record labels na production houses pia. Lugha inawasaidia plus wana ratings nzuri katika manunuzi ya muziki katika online platforns. Tukaze buti tu maana safari bado pevu
Of course kwa hao ulowataja kwao ni step kuwa nominated tu sikatai bt Vp kwa Diamond???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Diamond Achukue Tuzo Kwa Songs Zipi? Tukiwaambia hana Hits Songs kwa mda Sasa Mnatoa mapovu,

Uwezi kuchukua Tuzo kwa kutegemea Idea za Watu Wengine unasubili Watoe ngoma uombe Remix hahaa endeleeni kusifia Ujinga wa kuiga Mziki wa Nigeria,.

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Hawaelew ngoja waeleweshwe watakopy hadi Cinderella hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaalikwa Kwenye Tamasha na Wasanii Wenzio kama 8 Kisha unachukua Video na Kujisifu kua Wewe ndo Umejaza Uwanja peke yako alafu uje utegemee nini, uko hakuna Uswahili vigezo na Mashariti Vinazingatiwa

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Walikuwa wanajitekenya MFICHA MARADHI....TUZO HUMUUMBUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom