Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True mkuu bongo hatuna sound ya kwetu na WCB ndio wanaweka hali kuwa mbaya zaidi maana wamekuwa copy cats wa chochote kinachotrend ilimradi watengeneze pesa. Huwezi kuwashinda watu kirahisi kwa kuwaiga wanachokifanyaUmesahau kuongezea hapo SA na NIG wana identity katika mziki wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio roho mbaya ila kubali tu kuwa hii ERA ni ya Nigeria kwa muziki wa Africa. Previously ilikuwa south Africa mara Congo na sasa ni wao.Very true. Sound city, MTV na BET africa ziko kwa ajili ya NIGERIA TU/West Africa, sisi hazituhusu kabisa wale jamaa wana roho mbaya sana wanajikuta wao ndo AFRICA.
Bora hata tuzo zinazoandaliwa na vituo vya SOUTH AFRICA jamaa wako fair sana. Wale jamaa waliandaa tuzo ili kujitangaza tu kampuni yao itambulike zaid east africa na central africa bas.
Pia kwa upande wa afrika mashariki tanzania ilisha jitengenezea ubingwa wa muziki lakini miaka ya hivi karibuni kuiga iga ndiyo kumetufikisha hapo maana hata hao wanaotusikiliza nje ya nchi hawawezi kuelewa utamaduni wetu ni upi hasaSio roho mbaya ila kubali tu kuwa hii ERA ni ya Nigeria kwa muziki wa Africa. Previously ilikuwa south Africa mara Congo na sasa ni wao.
Hapa East Africa kuna wasanii gani wenye impact kubwa kuwazidi burna boy, wizkid au davido. Je vipi upande wa kike, ni nani wa kumfananisha na Tiwa au Yemi. Tukubali Nigeria ni powerhouse kwa sasa
Kama ambavyo wapo wanaopostig watanzania wakipata bas tukubali wapo ambao wanapost wakikosa...TULIAWakichukua tuzo wa bongo hamuanzishagi Uzi wakuwasifia ila wakikosa nyuzi nyingi munaanzisha hii mnaonesha jinsi gani mlivyo wanafiki by the way kupata au kukosa ni Jambo la kawaida kwa kila tuzo Cha msingi nimefurahi watanzania wameingia wengi kwenye nominees Hilo kwangu nimeona Jambo zuri kuliko kutokuwa kwenye nominees.
HahahahahasasWabongo wenyewe wanaimba igbo unategemea nini ?
Kama domo ndio anakopi mpaka anakera: Beats, Majina, Lafudhi mpaka Video Queens
Kweli kabisaWabongo wenyewe wanaimba igbo unategemea nini ?
Kama domo ndio anakopi mpaka anakera: Beats, Majina, Lafudhi mpaka Video Queens
Tatizo tunaaminishwa mambo magumu na ya uwongo wakati mwingine ndo maana Yakima matokeo kama haya tunashindwa elewa inakuwaje...mtu kama main act kwenye matamasha makubwa(tuliaminishwa),mtu ana viewers Wa kutosha kwenye nyimbo zake YouTube na pengine hakuna msanii Wa Africa anayegusa(tuliaminishwa)..mtu kagonga show mbele ya sadio mane then kwenye category 4 hupati hata tuzo moja Mkuu HII NI HATARI ACHA TUENDELEE KUSHANGAAKwenye awards kitu cha kwanza ni nominations ndio maana kuna wasanii wakubwa duniani kwenye bio zao utakuta "5 times oscar or grammy or billboards or mtv nominated".. Tuzo ni apprecciation so, kuwa nominated tu kwa mtu kama Nandy , Rayvanny, s2kizzy au marioo kwa Africa nzima ni step nzuri
Ukirudi kwenye kupata tuzo. Tukubali tu Nigeria na S.A wapo mbali na wana strong international acts wa kutosha. Record labels na production houses pia. Lugha inawasaidia plus wana ratings nzuri katika manunuzi ya muziki katika online platforns. Tukaze buti tu maana safari bado pevu
Of course kwa hao ulowataja kwao ni step kuwa nominated tu sikatai bt Vp kwa Diamond???Kwenye awards kitu cha kwanza ni nominations ndio maana kuna wasanii wakubwa duniani kwenye bio zao utakuta "5 times oscar or grammy or billboards or mtv nominated".. Tuzo ni apprecciation so, kuwa nominated tu kwa mtu kama Nandy , Rayvanny, s2kizzy au marioo kwa Africa nzima ni step nzuri
Ukirudi kwenye kupata tuzo. Tukubali tu Nigeria na S.A wapo mbali na wana strong international acts wa kutosha. Record labels na production houses pia. Lugha inawasaidia plus wana ratings nzuri katika manunuzi ya muziki katika online platforns. Tukaze buti tu maana safari bado pevu
Kama ambavyo timu Fulani inateseka domo kukosa...endeleeni kumuaminisha kwamba hakuna kama yeye Africa kwa sasa hahahahaaa 4 categories then empty hands duuuh..team fulan wamefurahia sana domo kukosa tuzo
Alienda tu kuwasalimia si unajua jamaa ana mihela.Alienda kufanya nini sasa?
Hiyo WAMENUNUA wanasemea wapi kama hawafungui threads...Polen jamani kawaida HahahahaaaSiku wakichukua hata thread hamfungui mnaishia kusema wamenunua.
Umejiunga lini JF?Usinge fungualiwa nimeongea hivi sababu najua ninachokiongea.
Hata Yesu alipingwa we nani ufungue Uzi then watu wote wakusapot???[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ndio wale nikifungua uzi mnasema "kwani huna kazi za kufanya" utazani nakula kwenu.
I know u kijana.
Hawaelew ngoja waeleweshwe watakopy hadi Cinderella hawaHivi Diamond Achukue Tuzo Kwa Songs Zipi? Tukiwaambia hana Hits Songs kwa mda Sasa Mnatoa mapovu,
Uwezi kuchukua Tuzo kwa kutegemea Idea za Watu Wengine unasubili Watoe ngoma uombe Remix hahaa endeleeni kusifia Ujinga wa kuiga Mziki wa Nigeria,.
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Walikuwa wanajitekenya MFICHA MARADHI....TUZO HUMUUMBUAUnaalikwa Kwenye Tamasha na Wasanii Wenzio kama 8 Kisha unachukua Video na Kujisifu kua Wewe ndo Umejaza Uwanja peke yako alafu uje utegemee nini, uko hakuna Uswahili vigezo na Mashariti Vinazingatiwa
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Pancho eeh....swali baya namna hii unamuuliza binadamu mwenzako KWELI????....hahahahahahaaaaKwanini baada ya kutumbuiza. Asiondoke?
Alibaki kufanya nini? Si hana shida na tuzo?