Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

wewe si ulisema uliacha shule form3 baada ya kusoma hizo conspiracies??sasa field ya uchumi umeingiaje tena

ndo field yangu toka kitambo, Sina any degree but ndo field nliofanyia kazi kwa mda mrefu! na mpaka leo hua naendelea kujifunza more and more
 
Founders wa wazo la kuanzisha federal reserve ni Rothschild grandfather, na alilitoa Germany jinsi mfumo wao wa kibank ulivyokuwa unafanya kazi, akalipeleka Marekani bado wakalikataa, akaona labda amfuate Rockfeller ambaye kwa kipindi hicho alikuwa tajiri sana atumie influence yake kuishawishi serikali ipitishe bill, bado ikagongwa mwamba mpaka walipoingia Democratics, wakapitisha bill ya kuanzisha federal reserve kama central bank ya America na siyo kampuni binafsi kama unavyotaka kuamini wewe.
Elimu za kata bana
 
Huu uzi niliuona mwanzo kabisa nikauacha nikiamini JF kuna wanauchumi wa kueleza vizuri kumbe mpaka sasa watu hawako interested na kuelezea.
Hata ningechangia ningetoa mwanga kidogo kuliko kutoa hints
 
ndo field yangu toka kitambo, Sina any degree but ndo field nliofanyia kazi kwa mda mrefu! na mpaka leo hua naendelea kujifunza more and more
ndomaana imekuwa rahisi kwako kuamini hizo conspiracies
 
Kwa nilivyoelewa hata Marekani kuwa nchi tajiri it means yeye mwenyewe ana akiba kubwa ya pesa za kigeni(foreign currency)kwasababu anaexport Sana kuliko kuimport

wachaneni na lies za exports na imports: uchumi hauko ivo
1604948610996.png

Huu uzi niliuona mwanzo kabisa nikauacha nikiamini JF kuna wanauchumi wa kueleza vizuri kumbe mpaka sasa watu hawako interested na kuelezea.
Hata ningechangia ningetoa mwanga kidogo kuliko kutoa hints

mkuu wote tunaunganisha mawazo, tupe ideas izo cha muhimu nchi isogee mbele
 
hahhaa i dont care, cha muhimu nasoma plus an extra research nijue ukweli thats all mengine mm hayanihusu
inshort nimesoma post zako nimegundua kwenye uwanja wa economics uko mweupe

lakini umemeza conspiracies ambazo I grant you ziko somehow 80% correct.
uko sawa ishu za fiat currency,utapeli w a $ currency nk.

Hizo ishu za federal reserve uko 50% correct ile ilianza kwa makubaliano baina ya serikali na wafanyabiashara lakini sio private company.

ishu za demand and supply uko mweupe ndomana unazipinga na hutaki kuzisikia.wakati ndiyo backbone ya uchumi

hauna solution yoyote ya kukuza uchumi hiyo ya kukopa zaidi sio solution mzee baba hata hujui jinsi hela inavyozalishwa..afadhali ungesema kukopesha with interest
 
Kwa hiyo unaishauri serikali iprint fedha nyingi ili ilipe madeni?

haya, wamekusikia😁😁😁😁

...ila unaweza kurefer kilichotokes zimbabwe baada ya kuprint hela nyingi kuliko uzalishaji wa bidhaa na exports

...miaka 60 ya uhuru, Nyerere anatukumbusha, umaskini wa fikra ni mbaya sana kuliko umaskini wa fedha
 
inshort nimesoma post zako nimegundua kwenye uwanja wa economics uko mweupe

lakini umemeza conspiracies ambazo I grant you ziko somehow 80% correct.
uko sawa ishu za fiat currency,utapeli w a $ currency nk.

Hizo ishu za federal reserve uko 50% correct ile ilianza kwa makubaliano baina ya serikali na wafanyabiashara lakini sio private company.

ishu za demand and supply uko mweupe ndomana unazipinga na hutaki kuzisikia.wakati ndiyo backbone ya uchumi

hauna solution yoyote ya kukuza uchumi hiyo ya kukopa zaidi sio solution mzee baba hata hujui jinsi hela inavyozalishwa..afadhali ungesema kukopesha with interest

- Hahaha sio kwamba sjaona wameandika sio private company, nmesoma vizuri kabisa kwenye website yao but with my other research nmekuja kujua its privately owned, Sasa Fed gan ina mpaka stocks! ivi wewe unaweza kumilikia 54% hisa ya BOT alafu useme ni shirika la serikali? who are your fooling sasa? na wameandika kabisa kwenye website yao hii apa

1604954644554.png

  • Ebu fikiria kidogo all bounds znazopitia federal reserve znafanyiwa maamuzi na benki kubwa zote, na wanaonunua ni wamiliki wa mabenki utasemaji ni ya serikali
  • Alafu Fed gan hata serikali hairuhusiwi hata kuifanyiwa uchunguzi. i Ule mzigo una wenyewe! You really trust americans? kwan nani alikua anajua google ni shirika la kijasusi linaloendeshwa na kitengo cha FBI? si wanasema kazi ya google ni kusearch tu?

--- Alafu kuna kitu hamwelewi swali haliulizi kuhusu uchumi tunajadili kuhusu pesa as pesa, these are 2 different things.
 
Attachments

  • 1604954623482.png
    1604954623482.png
    15.7 KB · Views: 2
inshort nimesoma post zako nimegundua kwenye uwanja wa economics uko mweupe

lakini umemeza conspiracies ambazo I grant you ziko somehow 80% correct.
uko sawa ishu za fiat currency,utapeli w a $ currency nk.

Hizo ishu za federal reserve uko 50% correct ile ilianza kwa makubaliano baina ya serikali na wafanyabiashara lakini sio private company.

ishu za demand and supply uko mweupe ndomana unazipinga na hutaki kuzisikia.wakati ndiyo backbone ya uchumi

hauna solution yoyote ya kukuza uchumi hiyo ya kukopa zaidi sio solution mzee baba hata hujui jinsi hela inavyozalishwa..afadhali ungesema kukopesha with interest

- Hahaha daaah, aiseee kwan hujui economy ya dunia saahv inaitwa dept based system? we unadhan pesa mpya znatoka wap? NI madeni hakuna kingine
 
inshort nimesoma post zako nimegundua kwenye uwanja wa economics uko mweupe

lakini umemeza conspiracies ambazo I grant you ziko somehow 80% correct.
uko sawa ishu za fiat currency,utapeli w a $ currency nk.

Hizo ishu za federal reserve uko 50% correct ile ilianza kwa makubaliano baina ya serikali na wafanyabiashara lakini sio private company.

ishu za demand and supply uko mweupe ndomana unazipinga na hutaki kuzisikia.wakati ndiyo backbone ya uchumi

hauna solution yoyote ya kukuza uchumi hiyo ya kukopa zaidi sio solution mzee baba hata hujui jinsi hela inavyozalishwa..afadhali ungesema kukopesha with interest
DEPT = NEW MONEY
 
Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.

Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.

Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka serikali inaprintiwa pesa?

Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje, tukakamilisha miradi mikubwa ya maendeleo, tukanunua madawa ya hospital na vyote ambavyo tunapungukiwa kama nchi?

Wanauchumi karibuni mtupe a,b,c za hili jambo ili tupate kujifunza.
Kwa lugha nyepesi kwa mkulima, ni kuwa, pesa ni kama bidhaa zingine unazozijua, chukulia mfano wa bidhaa ya mahindi, kama wananchi wana njaa, ukaamua kulima mahindi mengi yakatapakaa kila kona ili watu wale washibe, ni kweli watashiba ila kwa upande mwingine bei ya hayo mahindi lazima itaanguka sana. Hata pesa nazo ukiprint nyingi zinakosa thamani, utalazimika kununua soda kwa laki 1.
 
🤦‍♂️, Wacha nkupe elimu!
Demands and supply ni maelezo ya wanyonge, ndo kama wewe sasa! printing is done everyday, Here is some small info for you
View attachment 1622629

-> Pesa in simple terms tunasema ni imani ya mtumiaji, hkunaga sheria ya pesa! unfortunately watu kama nyie ndo wale hamchambui vitu vizuri mnarukia tu, if printing kills your money, then us dollar ingekua ya kwanza kufa kwa sababu inatumika dunia nzima (240 countries), kuanzia serikali mpaka wananchi wa kawaida thats including the government of the united states itself, so zpo za excess

Also kila sku mmoja The federal reserve wanachapisha noti mpya 24.8million dunia nzima, then why has the us dollar never lost is value? si ndio ipo foreign reserve BOT na dunia nzima?

-> wacha nkuulize swali lingine la ziada, ukichukua mkopo mpesa! unadhan vodacom wanatoa wap hio pesa kukupa?
-> Tafuta elimu usome zaidi achana na elimu za maji taka, ona sasa umebaki na graphs zako
Huyo Kiranga ni mjuaji asiyejitambua i hate him
 
Kuna jinsi unavyo changanya mambo. Ni haki yao kuwa na pesa hiyo yote kwasababu wanazalisha sana, wanauza nje sana, thamani ya kiwango cha pesa kinakuwa backed na shughuli za kiuchumi. Yani unachobidi uelewe ni kwamba shughuli za kiuchumi za Marekani ni kubwa sana Inauza na kununua kuliko nchi yoyote. Huo utajiri wa Benzos kwenye uchumi wa Marekani ni sawa na utajili wa Bakhresa kwenye uchumi wetu tena ukilinganisha na uchumi wetu Bakhresa anaweza kuwa ana percentage kubwa kwenye uchumi wetu kwa ela aliyo nayo.
Unabidi ulinganishe mambo kwa kutazama shughuli za kiuchumi. Marekani inanuanua kutoka China kuliko nchi zote za Afrika zikijumuishwa. Marekani inauza sana kuliko nchi zote za Afrika zikijumuishwa. Kucompare eti Benzos ana pesa kuliko nchi 6 za Afrika bila kuzingatia hayo mengine ni kupotosha.
Noted! 👍🏽
 
Swali la mtoa mada? Kwanini serikali tusiwe tunaprint pesa kugharamia shughuli za kiserikali na kulipa madeni?
Jibu la hili swali sio rahisi sana ukitaka kwenda na wanauchumi wa tanzania sawa, ila kiuhalisia sio kwamba tunshindwa ila tuna kikwazo cha nan tutaexhange nae tsh akaikubali badala ya kuchukua USD! ingekua kuna wtu wanapokea TSH as TSH tungekua tunafanya tu kama marekani tunaprint tunawapa au tunalipia madeni, kikwazo ndo icho, au tunafanya kama china tunachapisha za kutosha tunakopesha serikali zingine ili washindwe kulipa, hichi ndo kikwazo pekee!

-Lakini pia, kibiashara bado hatuna return nzuri ya kuismamisha tanzania kiuchumi kustahimili economy shakes, Atleast these are the major problems for now! wananchi na pia wengi bado wanategemea ajira kama njia za kipato sasa hii sio nzuri kama taifa
Ingekuwa hivyo, mbona USA ana deni China mbona hajaprint tu kulilipa hilo deni? Mbona kuna projects alizi damp kwa kukosa funding na nyingine ziko grounded bila kuendelea kwasababu ya funds, kwanini asiprint akazifanya
Nafaka na stakehigh nimependa namna mnavyofunguka na jinsi mnavyojibizana kwa kujenga hoja zenu kwenye huu uzi.
Much respect for both you!!
🙌🏾🔥
 
Back
Top Bottom