Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.

Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.

Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka serikali inaprintiwa pesa?

Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje, tukakamilisha miradi mikubwa ya maendeleo, tukanunua madawa ya hospital na vyote ambavyo tunapungukiwa kama nchi?

Wanauchumi karibuni mtupe a,b,c za hili jambo ili tupate kujifunza.
Zimbabwe nahisi walifanyaga kitu kinachoendana na hiki, uliza nini kilifata.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha nyepesi kwa mkulima, ni kuwa, pesa ni kama bidhaa zingine unazozijua, chukulia mfano wa bidhaa ya mahindi, kama wananchi wana njaa, ukaamua kulima mahindi mengi yakatapakaa kila kona ili watu wale washibe, ni kweli watashiba ila kwa upande mwingine bei ya hayo mahindi lazima itaanguka sana. Hata pesa nazo ukiprint nyingi zinakosa thamani, utalazimika kununua soda kwa laki 1.
Kwanini ninunue soda kwa laki moja wakati uzalishaji utabaki constant?

Hata ikitokea soda ikauzwa kwa laki moja shida itakuwa nini kwakuwa wananchi wana pesa ya kutosha kwa maana haitaathiri chochote.

Kumbuka tumesema hela iprintiwe yakutosha mtaani.
 
Kwa hiyo unaishauri serikali iprint fedha nyingi ili ilipe madeni?

haya, wamekusikia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

...ila unaweza kurefer kilichotokes zimbabwe baada ya kuprint hela nyingi kuliko uzalishaji wa bidhaa na exports

...miaka 60 ya uhuru, Nyerere anatukumbusha, umaskini wa fikra ni mbaya sana kuliko umaskini wa fedha
Kwanini hela iwe nyingi kuliko uzalishaji maana leo hii uzalishaji unakuwa mdogo kwasababu watu hawana capital yakuzalishia bidhaa.

Hizo hizo pesa nyingi kwanini wasianzishe viwanda na kuzalisha mashambani?
 
🤦‍♂️, Wacha nkupe elimu!
Demands and supply ni maelezo ya wanyonge, ndo kama wewe sasa! printing is done everyday, Here is some small info for you
View attachment 1622629

-> Pesa in simple terms tunasema ni imani ya mtumiaji, hkunaga sheria ya pesa! unfortunately watu kama nyie ndo wale hamchambui vitu vizuri mnarukia tu, if printing kills your money, then us dollar ingekua ya kwanza kufa kwa sababu inatumika dunia nzima (240 countries), kuanzia serikali mpaka wananchi wa kawaida thats including the government of the united states itself, so zpo za excess

Also kila sku mmoja The federal reserve wanachapisha noti mpya 24.8million dunia nzima, then why has the us dollar never lost is value? si ndio ipo foreign reserve BOT na dunia nzima?

-> wacha nkuulize swali lingine la ziada, ukichukua mkopo mpesa! unadhan vodacom wanatoa wap hio pesa kukupa?
-> Tafuta elimu usome zaidi achana na elimu za maji taka, ona sasa umebaki na graphs zako
Umeona thamani ya hizo note lakini? Yani kwa mwaka mzima wamechapisha note zenye utajili sawa na Bakhresa. Ndiyo ujue hawachapishi chapishi tu. 560$ nipesa ndogo sana hata Jay Z ana pesa nyingi kuliko hiyo.
Ingekuwa hivyo, mbona USA ana deni China mbona hajaprint tu kulilipa hilo deni? Mbona kuna projects alizi damp kwa kukosa funding na nyingine ziko grounded bila kuendelea kwasababu ya funds, kwanini asiprint akazifanya
Bado ninakuuliza tena kama wanaweza kuprint pesa kama wanavyotaka kwanini wana military project nyingi ziko grounded kwa kukosa funding? Kwanini wasiprint tu kuzifanya?
sas bro unavoniuliza mm izo project mm nahusika vp uko, mm nakuelezea uchumi as uchumi swala la project kua grounded its beyond my explanations, stick to the topic
We si umesema wanaprint tu. hizo grounded projects tena military projects ni proof kuwa pesa haiprintiwi ovyo bila kuwa backed na na uzalishaji na demand and supply.
china hawachukui USD wanachukua GOLDS only
View attachment 1622920
Na hiyo ni nini? Hao nazo ni gold?
naoba utambue kwamba china walikua watumiaji wa USD before na hii movement haina mda mrefu sana toka uanze but hio reform ikikamilika you will never hear USD in china,
View attachment 1622924
Umesema hawatrade wa dollar bali kwa gold sasa unaamisha magoli? Labda nikueleze, ni kwamba China walikubaliana na nchi nyingine baadhi kuwa wataanza kutrade kwa pesa zao yani foregin currency. Mfano Iran akimpelekea mafta china, china atalipa kwa Yuan, na china akipeleka bidhaa Iran, Iran atamlipa kwa local currency halafu biahsara ikiendela mbeleni watabadilishana hiyo pesa yao. Ila bado China ana reserve ya Dolallar tena ndiye mwenye reserve kubwa.
 
sasa kama unaprint tril 1.3 kila sku moja tokea 1990 mpaka leo huoni kwann unatapeliwa ili usiprint, we unadhan tungeprint pesa ya afrika masharika sisi kama sisi hio USD ingetufikia? ndo yale yale mtu anakwambia supply and demand while logic wala sio hio, uchumi mzima wa duniani unaendeshwa kwa utapeli wa hali ya juu, ni nchi nne tu zmejitoa katika utapeli wa kimarekani, na ndo nchi zinazosumbua hii dunia, mfano china ndo wanaongoza kwa kuchapisha pesa za kukopesha serikali za afrika, we uliskia wap uchumi wa china uliporomoka kwa hizo noti mpya? sasa wewe endelea na supply and demand
kwa hiyo Mkuu wewe huitaki na hukubaliani na hii kanuni ya SUPPLY na DEMAND.??
Maana hapo juu unasema haina logic (kwamba logic siyo ya supply & demand)
Duuh!! Nauliza, Je hivi kuna biashara (mabadilishano ya vitu kwa thamani) bila kuwapo kwa Demand na Supply??
Demand na Supply ndiyo msingi Mkuu wa biashara, ni wazi kuwa mtu huwezi kuuza kitu ambacho hakihitajiki (hakuna demand).
Pesa ni njia tu ya mabadilishano iliyowekwa na wenye nguvu (wenye madaraka) ili isaidie katika mabadilishano ya vitu,bidhaa au huduma kwa thamani husika na bei huratibiwa kufuatana na Demand na Supply ya huduma au bidhaa husika.
 
We si umesema wanaprint tu. hizo grounded projects tena military projects ni proof kuwa pesa haiprintiwi ovyo bila kuwa backed na na uzalishaji na demand and supply.
i will begin to skip you kwa sababu ushaanza story za vijiwe, what does this have to do with the strength of a currency? sasa wewe unaniuliza failed projects do i look like i am the president of the united states? Stick to the topic story za sjui project gan imefail ama flan imefanyika that not currency, do you know whats a FIANT CURRENCY?
Failed projects kwa kukosa fund. Yes iko related na kuprint currency maana hata aliyeuliza kauliza kwanini tusiprint pesa kulipa madeni. Kufail kwa kukosa pesa ambayo uandai inaweza kuwa printed na USA jinsi watakavyo, basi kama ingekuwa hivyo wange print kuzifund hizo critical projects zilizofail kwa kukosa pesa.

Ukitaka kujua pesa haiprintiwi ovyo, India pesa yao wanaiprint wenyewe, lakini wana lindi la umaskini. Viwanda vya kuprint pesa viko nchini mwao lakini hawaprint pesa hovyo hovyo. Pesa ina printiwa kutokana na shughuli za kiuchumi na demand yake otherwise ukiprint pesa wakati hakuna shughuli za kiuchumi zinazo idemand, basi subiri mfuko mkubwa utakaopeleka uchumi wa nchi kiblah.
kwanza haitwi fiant currency ni fiat currency.
Kwanza unajua nan anaprint pesa ya marekani?
Ni Bureau of Engraving and Printing. Halafu kwa taarifa yako karibu pesa zote ni fiat money, haziko backed na vitu kama gold and silver. Kuna pesa moja tena nayo ni cryptocurrency ya waarabu jina ndo limenitoka ila ikianza itakuwa backed na reserved gold.
anyway wacha nkupe jibu la kukuweka on track, pes ya marekani haiprintiwi na serikali ya marekani, inaprintiwa na shirika binafsi linaitwa THE FEDERAL RESERVE, serikali ya marekani inafuata masharti yatolewayo na hili shirika na si vinginevyo ingawa skupenda tuanze story za ushindani ila kaa ukijua hili
Mkuu unasoma consipiracy theory federal reserve haiprint pesa ya marekani na siyo shirika binafsi ila central bank ya USA. Unasoma sana conspiracy theories.
Unaona sasa yan unasomavitu huelewi, federal reserve haiprint pesa, bali anaye print pesa ni Bureau of Engraving and Printing iko chini ya U.S Department of Treasury. We jamaa mbishi sana
Federal Reserve ni Central Banking system of America. Wao ndiyo wana issue iprintiwe kiasi gani na kiasi gani iingie kwenye mzunguko.

Fiat man haiko backed na commodity kama gold and silver, iko backed na shughuli za kiuchumi. Yani unasoma vitu huelewi unahisi umeelewa.
Naam msikilizaji, soka linaendelea.. Dakika ni ya 83. Na Nafaka anaongoza kwa magoli 2-1 dhidi ya stakehigh
 
karibu sna, ingawa nmeelezea kw kifupi ila jaribu kusoma zaidi na zaidi, itakusaidia katika kufanya maamuzi, hizi taarifa nlizosoma mara ya kwanza nkiwa form 3 na nkaacha shule apo apo
Nashukuru nakuomba kila upatapo nafasi uzidi kuelimisha mkuu.
 
kwa hiyo Mkuu wewe huitaki na hukubaliani na hii kanuni ya SUPPLY na DEMAND.??
Maana hapo juu unasema haina logic (kwamba logic siyo ya supply & demand)
Duuh!! Nauliza, Je hivi kuna biashara (mabadilishano ya vitu kwa thamani) bila kuwapo kwa Demand na Supply??
Demand na Supply ndiyo msingi Mkuu wa biashara, ni wazi kuwa mtu huwezi kuuza kitu ambacho hakihitajiki (hakuna demand).
Pesa ni njia tu ya mabadilishano iliyowekwa na wenye nguvu (wenye madaraka) ili isaidie katika mabadilishano ya vitu,bidhaa au huduma kwa thamani husika na bei huratibiwa kufuatana na Demand na Supply ya huduma au bidhaa husika.
Anaandika supply and demand haina logic?

Waingwrwza wana msemo.

A little knowledge is dangerous indeed.

Ukimsikia mtu anaongea hivyo, halafu ukaendelea kubishana naye, sitamshangaa yeye, nitakushangaa wewe.

Tatizo hawa watoto wengine wanaangalia video za Youtube za conspiracy theory kabla ya kujua Kiingereza!

Sasa hata kama mtu anaelezea paper money is a "manufactured reality" (Professor Harari talks about this a lot, I totally understand that, refer to "Sapiens: A Brief History of Mankind"), lakini, kama hujui muktadha na kuelewa kwamba money is a commodity with a price that is aet by the market powers of demand and supply, utakuwa unachanganya mambo.

After all, is there any value that is not a product of imagination?

Is there any value that is not based on projection on the future?

Is there any projection on the future that is not based on imagination?

Nilichogundua ni kwamba, hapa JF tunakutana watu tofauti sana.

Sasa mtu niliyemsoma John Maynard Keynes, Adam Smith, Ricardo etc mwaka 1995, leo niende kubishana na mtu asiyejua hata spelling za Kiswahili?

Mtu niliyemsoma Harari 2012 kuhusu manufactured reality nibishane na mtu anayeonekana kushabikia conspiracy theory videos za Youtube bila kujua hata Kiswahili, achilia mbali Kiingereza?

Ndiyo maana wengine nawaweka kapuni tu kwamba hawajafikia kiwango cha kubishana nami.

Hata kwenye boxing kuna kuwatenganisha wapambanaji kwa uzito, mtu wa heavyweight hatakiwi kupigana na featherweight.

Sasa mtu kama haelewi demand and supply unaanza vipi kubishana naye?

Unataka kubishana habari za kurusha ndege na mtu ambaye hana uwezo wa kujua juu ni wapi na chini niwapi?
 
Heavyweight vs Featherweight 😀
Kwa kweli hapo jamaa ameyumba sana aliposema kanuni ya "supply & demand " haina logic.
 
Ebu tuambie supply and demand inahusiana VP na kuchapisha pesa
 
kwa hiyo Mkuu wewe huitaki na hukubaliani na hii kanuni ya SUPPLY na DEMAND.??
Maana hapo juu unasema haina logic (kwamba logic siyo ya supply & demand)
Duuh!! Nauliza, Je hivi kuna biashara (mabadilishano ya vitu kwa thamani) bila kuwapo kwa Demand na Supply??
Demand na Supply ndiyo msingi Mkuu wa biashara, ni wazi kuwa mtu huwezi kuuza kitu ambacho hakihitajiki (hakuna demand).
Pesa ni njia tu ya mabadilishano iliyowekwa na wenye nguvu (wenye madaraka) ili isaidie katika mabadilishano ya vitu,bidhaa au huduma kwa thamani husika na bei huratibiwa kufuatana na Demand na Supply ya huduma au bidhaa husika.

OK tell us supply and
 
Wakiweza hilo inabidi waanze na kutulipa sisi watanzania yaan wachapishe nyingi ili watugawie na sisi wananchi
Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.

Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.

Swali: Ni vigezo gani huwa vinaangaliwa mpaka serikali inaprintiwa pesa?

Kwa nini wasprint nyingi tukalipa madeni ya nje, tukakamilisha miradi mikubwa ya maendeleo, tukanunua madawa ya hospital na vyote ambavyo tunapungukiwa kama nchi?

Wanauchumi karibuni mtupe a,b,c za hili jambo ili tupate kujifunza.
 
Tricky question.

In a layman explanation.

Once upon a time we had barter trade. Trading by exchanging things by things on hands. Now what if I have 1 cow and i want to trade this 1 cow for only 1 goat. Since 1 cow and 1 goat aren't worth the same. Cow worth's higher than goat. So I need 1 goat and remaining value of my cow i.e the change. I don't want anything, I just want a goat and the remaining value. How would I be paid?

In early days if you had much golds you're a rich. So gold didn't solve the scenario above of barter trade.
The idea of money came in our heads. What we need is something that will trade things at different values and the remaining changes, hence making life simple. Just a single paper in pocket worth cows, car and a house.

How would the first money worth? Well do we have something very rarely and highly valued than other things? Yes it's Gold.

How do we value a single paper per gold?
Just make $ 1 paper per 1 milligramme of gold (just an example, not really how it works). That means 100 mg of gold and you have $100 in pockets.

You seeeeeeee!

If a cow worth $3, it would need me 3 mg of golds, now I'll give only $3 of paper money instead of golds and get my changes back.

Printing bunch of paper $ thinking you'll wake-up a rich is a dumb idea, it doesn't mostly work. Zimbabwe and Venezuela tried and failed.

Imagine a country prints trillions of paper $ and procure to every citizen in the country. Now everybody has $1000 in their pockets without sweat, I mean easily you get $ without production!. All of people need is rice to survive. It used to cost $1 for 1 kg of rice. Everyone has money now everyone will need to buy tonnes of rice and put them at their homes. Rice will be scarce in the market. Demand of rice will rise and hence firms and farmers will need to hire workers to work harder and produce more rices. Workers will demand high wages. And hence firms won't stand longer paying higher wages to rice producers. Now firms will consider raising the price of 1 kg of rice to $ 10. It's a hide and seek game😀😀.

Value of the currency drops (PPP). I mean PPP of rice in China may be is $0.5 but yours is $10.

You wanna buy rice in China by your currency you'll need 10/0.5 = 20 PPP of your currency. 😅

As long as your government continue printing more moneys without considering its gold reserve, imports and exports its economy will crush.

Economy of the country grows by making things, selling them and of course the currency's value is determined by gold reserves. Gold is rarely and valued thing you know.
Huu uzi uishie hapa.!! Mkuu umemaliza karibu kila kitu ikiwa tu kama mtu ataelewa kilichoandikwa hapo. 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Thanks very much for your simple explanation at least everyone can understand.
But I have one last question for me to understand fully the economic game.
Suppose the country has several means of production in every sector like agriculture,Industrial production,business but no export.
Will the economy be raised?if yes where is the excess money of the country comes from for the economy to raise?
Well,

We're almost 60 millions Tanzanians. And lets follow for a moment our statisticians data as 70-80% of us makes life by agricultural practices.

As you have said, assuming no export, how will an economy grow?

Imagine all those 80% people have flooded the agricultural harvests in a year. Internal markets will be weighed down, since 80% of people have full stocks. Will internal bussinessmen rescue the internal markets for that whole stocks? Lets see.

The burden will be on the farmers. There will be food and crop producst everywhere. Farmers will need to lower prices so that they can sell stocks faster and get money, as there will be competition. Internal industries will benefit from low price agricultural raw materials. At this point the gain is very minimum as no body is hungry.

... assuming no export.

The government or/and individuals (businessmen) will seek investors. And of course most of them will be coming from abroad.
Investors will be attracted by huge stocks of agricultural raw materials. And of course they will come with $$$$$ you know.

Coming with $$$$ they will need to exchange money in banks, western union, and the co. Here the government gets some interests. And of course I can see some raise here even if it's infinitesimal but in the long run will be huge.
With the coming of investors I now see the relief of our farmers here.

... assuming no export.

Investors will start investing in industries to process those raw materials and make products like mtindi, flour, cooking oil, bags, etc.

... assuming no export.

The cycle of internally made products will depend with the internal demands. The most demanded product will win the market.

From the scenario above, assuming every sector floods it's production and no exportation, the internal markets will sustain and grow very slowly compared to when there is exports of products and raw materials.

Waiting for investors to come with $ is a good start for a country to grow its internal markets. As you know something should done to attract investors i.e government policies.

Gaining excess money with no exportation is a sacrifice. That means you need investors with their moneys to come invest in your ground. Long way to go.

But the combination of exportation and importation is much more faster for economy to grow than either one.

Regardless of individual benefits from internal business, something will eat on the national economy. Will see very slow growth.
 
Well,

We're almost 60 millions Tanzanians. And lets follow for a moment our statisticians data as 70-80% of us makes life by agricultural practices.

As you have said, assuming no export, how will an economy grow?

Imagine all those 80% people have flooded the agricultural harvests in a year. Internal markets will be weighed down, since 80% of people have full stocks. Will internal bussinessmen rescue the internal markets for that whole stocks? Lets see.

The burden will be on the farmers. There will be food and crop producst everywhere. Farmers will need to lower prices so that they can sell stocks faster and get money. Internal industries will benefit from low price agricultural raw materials. At this point the gain is very minimum as no body is hungry.

... assuming no export.

The government or/and individuals (businessmen) will seek investors. And of course most of them will be coming from abroad.
Investors will be attracted by huge stocks of agricultural raw materials. And of course they will come with $$$$$ you know.

Coming with $$$$ they will need to exchange money in banks, western union, and the co. Here the government gets some interests. And of course I can see some raise here even if it's infinitesimal but in the long run will be huge.
With the coming of investors I now see the relief of our farmers here.

... assuming no export.

Investors will start investing in industries to process those raw materials and make products like mtindi, flour, cooking oil, bags, etc.

... assuming no export.

The cycle of internally made products will depend with the internal demands. The most demanded product will win the market.

From the scenario above, assuming every sector floods it's production and no exportation, the internal markets will sustain and grow very slowly compared to when there is exports of products and raw materials.

Waiting for investors to come with $ is a good start for a country to grow its internal markets. As you know something should done to attract investors i.e government policies.

Gaining excess money with no exportation is a sacrifice. That means you need investors with their moneys to come invest in your ground. Long way to go.

But the combination of exportation and importation is much more faster for economy to grow than either one.

Regardless of individual benefits from internal business, something will eat on the national economy. Will see very slow growth.
Thanks very much for your excellent explanation at least I have now reduced my laymanship in economy.
I wish you were my economy tutor.
Be blessed.
 
Heavyweight vs Featherweight 😀
Kwa kweli hapo jamaa ameyumba sana aliposema kanuni ya "supply & demand " haina logic.

wewe ukisoma economics alevel ndo unaona umefika mwisho, haya na wewe tuambie supply and demand inahusiana vp na kuchapisha pesa
 
Back
Top Bottom