Kuna kitu kinaitwa money supply, wachumi wamei-group ktk narrow definition na broad definition, narrow definition ni hela cash zilizopo kwa watu/public na current account/float, na zinatumika kama exchange for trade wakati broad definition ni hela cash zilizo kwa watu/public (in circulation) plus money in banks plus foreign currency plus bonds, so wenye mamlaka ya kuprint money ni central bank au finance ministry katika nchi husika, swali, ni.muda gani inatakiwa kuprint money na kwanini?
Hapo awali ni nimesema wenye mamlaka ya kuprint hela na kukontroo ni central bank ya nchi husika. Central bank inaprint hela muda wowote inapoona kuna uhitaji wa hela ktk mzunguko na pia inaziondoa ktk mzunguko inapoona zimezidi ktk mzunguko make kazi yake ndo hiyo kukontrol hela.