stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
nimesalitiji demand and supply?nimeziweka hizo major currencies kama commodity ambayo ina demand na supply yake
halafu em rudia kusoma maelezo yangu naona unarudia maswali mle mle.
ishu ya USD ni kwasababu ya stability ya uchumi wa marekani..leo tukitrade kwa Ksh. na Tsh halafu ghafla uchumi wa Kenya ukashuka itakuwaje?Si bora tuwe na common form of currency ambayo haishuki au kupanda ovyo ovyo.(gold ilikuwa option nzuri ila nimeshakuambia madhara yake)
Then ishu ya demand ya USD haiishii tu export na import kuna mpaka mambo ya policies..China policies zao aaagh sitaki kuwa narudia maelezo yale yale
Then ishu ya Tsh kushuka thamani kisa dola ni factor ndogo sana hatuhitaji hata kudiscuss maana hapa bongo tu ni % ndogo sana wanatumia dola mzee haifiki hata 3%
- Good boy! Mwanzoni nlisema pesa ya usd inatumika kwa sababu ya (imani na utapeli)
(ishu ya USD ni kwasababu ya stability ya uchumi wa marekani..leo tukitrade kwa Ksh. na Tsh halafu ghafla uchumi wa Kenya ukashuka itakuwaje?)
- Ingawa nakuchukulia kama bado lena ila sipendi kumdharau mtu! so tumekubaliana kwamba pesa ya marekani inatumika tu kwa sababu ya imani? according from your point nliohiglight apo? tupo pamoja mpaka apo?