Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

wewe si ulisema uliacha shule form3 baada ya kusoma hizo conspiracies??sasa field ya uchumi umeingiaje tena

ndo field yangu toka kitambo, Sina any degree but ndo field nliofanyia kazi kwa mda mrefu! na mpaka leo hua naendelea kujifunza more and more
 
Elimu za kata bana
 
Huu uzi niliuona mwanzo kabisa nikauacha nikiamini JF kuna wanauchumi wa kueleza vizuri kumbe mpaka sasa watu hawako interested na kuelezea.
Hata ningechangia ningetoa mwanga kidogo kuliko kutoa hints
 
ndo field yangu toka kitambo, Sina any degree but ndo field nliofanyia kazi kwa mda mrefu! na mpaka leo hua naendelea kujifunza more and more
ndomaana imekuwa rahisi kwako kuamini hizo conspiracies
 
Huu uzi niliuona mwanzo kabisa nikauacha nikiamini JF kuna wanauchumi wa kueleza vizuri kumbe mpaka sasa watu hawako interested na kuelezea.
Hata ningechangia ningetoa mwanga kidogo kuliko kutoa hints

mkuu wote tunaunganisha mawazo, tupe ideas izo cha muhimu nchi isogee mbele
 
hahhaa i dont care, cha muhimu nasoma plus an extra research nijue ukweli thats all mengine mm hayanihusu
inshort nimesoma post zako nimegundua kwenye uwanja wa economics uko mweupe

lakini umemeza conspiracies ambazo I grant you ziko somehow 80% correct.
uko sawa ishu za fiat currency,utapeli w a $ currency nk.

Hizo ishu za federal reserve uko 50% correct ile ilianza kwa makubaliano baina ya serikali na wafanyabiashara lakini sio private company.

ishu za demand and supply uko mweupe ndomana unazipinga na hutaki kuzisikia.wakati ndiyo backbone ya uchumi

hauna solution yoyote ya kukuza uchumi hiyo ya kukopa zaidi sio solution mzee baba hata hujui jinsi hela inavyozalishwa..afadhali ungesema kukopesha with interest
 
Kwa hiyo unaishauri serikali iprint fedha nyingi ili ilipe madeni?

haya, wamekusikia😁😁😁😁

...ila unaweza kurefer kilichotokes zimbabwe baada ya kuprint hela nyingi kuliko uzalishaji wa bidhaa na exports

...miaka 60 ya uhuru, Nyerere anatukumbusha, umaskini wa fikra ni mbaya sana kuliko umaskini wa fedha
 

- Hahaha sio kwamba sjaona wameandika sio private company, nmesoma vizuri kabisa kwenye website yao but with my other research nmekuja kujua its privately owned, Sasa Fed gan ina mpaka stocks! ivi wewe unaweza kumilikia 54% hisa ya BOT alafu useme ni shirika la serikali? who are your fooling sasa? na wameandika kabisa kwenye website yao hii apa



  • Ebu fikiria kidogo all bounds znazopitia federal reserve znafanyiwa maamuzi na benki kubwa zote, na wanaonunua ni wamiliki wa mabenki utasemaji ni ya serikali
  • Alafu Fed gan hata serikali hairuhusiwi hata kuifanyiwa uchunguzi. i Ule mzigo una wenyewe! You really trust americans? kwan nani alikua anajua google ni shirika la kijasusi linaloendeshwa na kitengo cha FBI? si wanasema kazi ya google ni kusearch tu?



--- Alafu kuna kitu hamwelewi swali haliulizi kuhusu uchumi tunajadili kuhusu pesa as pesa, these are 2 different things.
 

Attachments

  • 1604954623482.png
    15.7 KB · Views: 2

- Hahaha daaah, aiseee kwan hujui economy ya dunia saahv inaitwa dept based system? we unadhan pesa mpya znatoka wap? NI madeni hakuna kingine
 
DEPT = NEW MONEY
 
Kwa lugha nyepesi kwa mkulima, ni kuwa, pesa ni kama bidhaa zingine unazozijua, chukulia mfano wa bidhaa ya mahindi, kama wananchi wana njaa, ukaamua kulima mahindi mengi yakatapakaa kila kona ili watu wale washibe, ni kweli watashiba ila kwa upande mwingine bei ya hayo mahindi lazima itaanguka sana. Hata pesa nazo ukiprint nyingi zinakosa thamani, utalazimika kununua soda kwa laki 1.
 
Huyo Kiranga ni mjuaji asiyejitambua i hate him
 
Noted! πŸ‘πŸ½
 
Swali la mtoa mada? Kwanini serikali tusiwe tunaprint pesa kugharamia shughuli za kiserikali na kulipa madeni?
Ingekuwa hivyo, mbona USA ana deni China mbona hajaprint tu kulilipa hilo deni? Mbona kuna projects alizi damp kwa kukosa funding na nyingine ziko grounded bila kuendelea kwasababu ya funds, kwanini asiprint akazifanya
Nafaka na stakehigh nimependa namna mnavyofunguka na jinsi mnavyojibizana kwa kujenga hoja zenu kwenye huu uzi.
Much respect for both you!!
πŸ™ŒπŸΎπŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…