Kwanini BoT wasiprint pesa nyingi ili Serikali ifanyie mambo yake?

Kwanza serikali inamamlaka ya kuprint pesa zake zenyewe bila kibali toka popote.....taasisi ya IMF huwa inakopesha etc fedha za kigeni serikali kama Kuna upungufu WA fedha za kigeni... Pia IMF huwa wana mapendekezo kadhaa kwa benki kuu kuhusu kuprint pesa.

Serikali huwa inprint fedha na kuziweka kwenye mzunguko Kama Kuna gap ya kufanya hivo na Kama hakuna madhara yanayoweza kutokea... NI JAMBO LA KAWAIDA.

shida huwa inakuja pale serikali inapoprint PESA nyingi kuliko mzunguko wa Shughuli za kiuchumi Hapo ndio ongezeko LA pesa kwenye mzunguko linaharibu uchumi kabisa na kusababisha mfumuko wa bei etc.

Kuprint pesa hapa namaanisha kuongeza fedha zingine mpya kwenye mzunguko na si kubadilisha mwonekano WA fedha au kubadilisha zilizochakaa.
 
Katika masuala ya pesa ni magumu kuyaelewa kwa ss ngosi nyeusi, Zimbabwe, Zambia walijaribu kuprint kilichotokea wanajua wenyewe, mpaka sasa wasomi wetu wa bongo wanaeleza lakini hawajui wanachokieleza, mfumo wa pesa ni waajabu sana, mpaka sasa najua thamani ya pesa yetu inaendelea kushuku tu. Kwa ss Tanzania tunaingiza vitu vingi kuliko kutoa vitu.
 
IMF not IFM..pole.
 
Waliokimbia umande hapa lazima waone maruweruwe.
 
Ili kukuza uchumi, unatakiwa kuzidisha uzalishaji.

Ukizidisha kuchapisha pesa tu, kitakachotokea ni kwamba ,hela zitakuwa nyingi, lakini vitu vitapanda bei sana (inflation).
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umewaza nini ?
 
Mi nataka nijue hao wanaotu-printia hizo pesa, sisi tunawalipa nini kwa kazi hiyo?

Majibu mengi kwenye swali hili hayaridhishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ili kukuza uchumi inatakiwa uzalishaji uongezeke.Ukichapisha hela nyingi wakati hakuna uzalishaji maana yake ni kwamba watu watakuwa na hela nyingi sana lakini cha kununua hakuna!
Mkuu heshima yako chief .....mfilisi anakupa hi
 
Namimi naongezea swali, kuhusu foreign currency reserve, je ikitokea Tanzania imetuma majambazi sugu US, wakaenda kuiba dollar za kutosha kwa ajili ya reserve ya TZ.

Uchumi utaimarika assuming other factors remain constant, nikimaanisha hizo dollar hazijawa blacklisted maana inawezekana kuzitangaza ni batili kwa taifa la us, tufanye haya yote hayapo ila mzigo wa dollar za kimarekani umejazwa kwenye makontena ya kutosha yakaja tupwa BOT, wajuvi je tanzania itakua vizuri kwa kipindi hicho?
 
Bado!Nieleze kwanza kwa nini siku hizi mfilisi wa serekali ni adhimu sana
Ebhu chungulia whatsap money....πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Mfilisi mpenzi wa macho matatu changamoto kupata vipieniiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mkuu kumbe Chuo cha IFM kina pesa kiasi hiyo? wacha nikasome apo.

By the way ni IMF acha fyongo
 
Ukiprint hela nyingi:
1. Utasababisha mfumuko wa bei.
2. Pesa yako itapungua thamani.
3. Dunia itapoteza imani na pesa yako.
4. Utakuwa umefanikiwa kuua uchumi wa nchi yako.

Zimbabwe walijaribu hii kitu.
View attachment 1622051
Haujamuelewa, amesema tuprint nyingi halafu wapewe mataifa ya nje wanaotudai...... Hilo ndilo swali lake!

Ana assume kuwa ukiprint pesa na kuzipeleka nje then uchumi wa ndani hautaathirika na mfumuko wa bei sababu pesa zitakwenda nje!
 
Mi nataka nijue hao wanaotu-printia hizo pesa, sisi tunawalipa nini kwa kazi hiyo?

Majibu mengi kwenye swali hili hayaridhishi
Tunatumia reserve ya pesa za nje tuliyonayo BOT. So it means tunalipia huduma za ukandarasi kutokea nje....
 
Itatokeabonge la inflation kiasi kwamba tutaanza kununua mkate hata kwa laki. Pesa haiprintiwi hivi hivi inakuwa backed na shughuli za kiuchumi na demand.
Haujaelewa swali. Ameuliza kulipia madeni ya nje
 
Haujaelewa swali. Ameuliza kulipia madeni ya nje
Mbona nimemjibu, kuwa madeni ya nje ya nalipwa na foreign currency siyo pesa ya madafu. Sasa tutawezaje print pesa ya kigeni kwa ajili ya kulipa madeni ya nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…