Hujasema cha maana.Umekuwa na kauli kama za wanasiasa.Ukiprint hela nyingi:
1. Utasababisha mfumuko wa bei.
2. Pesa yako itapungua thamani.
3. Dunia itapoteza imani na pesa yako.
4. Utakuwa umefanikiwa kuua uchumi wa nchi yako.
Zimbabwe walijaribu hii kitu.
View attachment 1622051
Na hizo pesa tunaenda kuzibadilisha wapi? Ushasikia mtanzania katoka na pesa yetu kaenda zibadilishia nchi nyingine? Pesa zetu zinabaki humu humu hata ukitaka kuvuka mpaka wa uganda unazibadilisha mpakani na zitakazopita zitarudishwa hapa hapa tu.Unabadilisha na fedha za kigeni.
Huwa mfumuko wa bei unakujaje kama bidhaa zitauzwa kwa bei ile ile ya awali?Kwanza serikali inamamlaka ya kuprint pesa zake zenyewe bila kibali toka popote.....taasisi ya IMF huwa inakopesha etc fedha za kigeni serikali kama Kuna upungufu WA fedha za kigeni... Pia IMF huwa wana mapendekezo kadhaa kwa benki kuu kuhusu kuprint pesa.
Serikali huwa inprint fedha na kuziweka kwenye mzunguko Kama Kuna gap ya kufanya hivo na Kama hakuna madhara yanayoweza kutokea... NI JAMBO LA KAWAIDA.
shida huwa inakuja pale serikali inapoprint PESA nyingi kuliko mzunguko wa Shughuli za kiuchumi Hapo ndio ongezeko LA pesa kwenye mzunguko linaharibu uchumi kabisa na kusababisha mfumuko wa bei etc.
Kuprint pesa hapa namaanisha kuongeza fedha zingine mpya kwenye mzunguko na si kubadilisha mwonekano WA fedha au kubadilisha zilizochakaa.
Nakuomba unionyeshe source moja tu inayosema federal reserve ni kampuni binafsi hiyo tu.
Mkuu vitu vikipanda bei si bado hela nayo itakuwa nyingi mtaani kwahiyo suala la mfumuko linakuwa halina mashiko tena.Ili kukuza uchumi, unatakiwa kuzidisha uzalishaji.
Ukizidisha kuchapisha pesa tu, kitakachotokea ni kwamba ,hela zitakuwa nyingi, lakini vitu vitapanda bei sana (inflation).
Haya yote unayoyasema nishayasoma hicho kitabu ni sawa na usome Da Vinvi code halafu huitimishe kuwa kuna the Norwegians. Ni conspiracy. Reliable source zote zinasema Federal Reserve, ni Cental Bank ya USA. Unasoma sana conspiracy theories zitakufanya uanze kila unachoona unahisi hakiko kama kilivyo.doooh, nlijua tu we ni mzee wa article ona sasa! anyway sio tu ni kampuni binfasi wacha nkupe list ya founders kabisa, tafauta hiki kitabu
View attachment 1622963
usome na uelewe!!
Unaona unavyochagua, Zimbabwe wametumia USD, wametumia South African Rand pia. Wewe unasoma conspiracy theories toka mwanzo nishakusoma. Ndiyo yale ya Federal Reserve n kampuni binafsi. Yani kumwelewesha mtu ambaye amesoma sana conspiracies ni vigumu.
doooh, nlijua tu we ni mzee wa article ona sasa! anyway sio tu ni kampuni binfasi wacha nkupe list ya founders kabisa, tafauta hiki kitabu
View attachment 1622963
usome na uelewe!!
Haya yote unayoyasema nishayasoma hicho kitabu ni sawa na usome Da Vinvi code halafu huitimishe kuwa kuna the Norwegians. Ni conspiracy. Reliable source zote zinasema Federal Reserve, ni Cental Bank ya USA. Unasoma sana conspiracy theories zitakufanya uanze kila unachoona unahisi hakiko kama kilivyo.
Let us call it a day.
View attachment 1622969
Yani msululu wote utakueleza vizuri, uwe ukisoma hizo conspiracy theories na books zako unarudi kulinganisha ukweli na reliable sources. Hata mimi nilikuwa ninaamini Federal Reserve ni kampuni binafsi mpaka mwaka juzi kwasababu nilikuwa nimejazwainformation toka kwa wapenzi wa conspiracy.
ANy way nimeisha hapa. It was nice challenging you.
Basi wewe ni mchumi kama wachumi wa Tanzania na PhD zao lakini hata hawajui wanatuendelezaje. Wewe siyo mchumi bali unasoma conspiracy theories.aisee dogo mm sio mtu wa articles, economics ndo my field karibia 8 years saaahv, i know what i am talking about!
najua scams za hii dunia za kutosha tu, mambo yako wide open kwenye maisha ya kawaida mtu yoyote anaejua uchumi vizuri na anasoma vitabu vingi its easy to spot the lie, hutaki ilo ni juu yako sasa, thats a real word example nmekupa! and yes federal reserve is private owned, do you even know who are the founders?
Kuna swali jingine limeulizwa kwamba kama issue ni kuwa na akiba ya fesha za kigeni ndo kigezo cha uchumi kupanda, vipi endapo majambazi ya kitanzania yakaenda Marekani nakuiba kiasi kikubwa cha dola huku mambo mengine yakibaki constant kuna athari ya kiuchumi itatokea?Mbona nimemjibu, kuwa madeni ya nje ya nalipwa na foreign currency siyo pesa ya madafu. Sasa tutawezaje print pesa ya kigeni kwa ajili ya kulipa madeni ya nje.
View attachment 1622969
Yani msululu wote utakueleza vizuri, uwe ukisoma hizo conspiracy theories na books zako unarudi kulinganisha ukweli na reliable sources. Hata mimi nilikuwa ninaamini Federal Reserve ni kampuni binafsi mpaka mwaka juzi kwasababu nilikuwa nimejazwainformation toka kwa wapenzi wa conspiracy.
ANy way nimeisha hapa. It was nice challenging you.
Wakikileta huku, yes tutakuwa na reserve kubwa ya dollar tunaweza kununua sana tu kutoka nje.Kuna swali jingine limeulizwa kwamba kama issue ni kuwa na akiba ya fesha za kigeni ndo kigezo cha uchumi kupanda, vipi endapo majambazi ya kitanzania yakaenda Marekani nakuiba kiasi kikubwa cha dola huku mambo mengine yakibaki constant kuna athari ya kiuchumi itatokea?
Na kwa vp athari hiyo itokee?
Basi wewe ni mchumi kama wachumi wa Tanzania na PhD zao lakini hata hawajui wanatuendelezaje. Wewe siyo mchumi bali unasoma conspiracy theories.
Sawa Dogo nitakutrust wewe dogo.alafu dogo nakupa ushauri wa bure dont trust google!!
The internet is full of things, ni akili yako kuchambua kipi kweli kipi uongo. Unaweza mezeshwa mashudu na ukayaamini kabisa kuwa ni sawa. Kuna mambo mengi hasa kwenye vitabu Author anakuaminisha kitu. Same kama watu walivyoamini story ya Da Vinci Codesasa wewe ndugu yangu unasoma google, unaijua google unasikia wewe! THE is full of lies
Sawa Dogo nitakutrust wewe dogo.