Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hujasema cha maana.Umekuwa na kauli kama za wanasiasa.Ukiprint hela nyingi:
1. Utasababisha mfumuko wa bei.
2. Pesa yako itapungua thamani.
3. Dunia itapoteza imani na pesa yako.
4. Utakuwa umefanikiwa kuua uchumi wa nchi yako.
Zimbabwe walijaribu hii kitu.
View attachment 1622051