Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Itategemea na pressure itakavyokuwa hiyo nafasi imeachwa makusudi ili ikitokea pressure imekuwa kubwa wafanye reform Ila ikiwa ndogo wapite kimya kimyaWanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Nakubaliana na weweItategemea na pressure itakavyokuwa hiyo nafasi imeachwa makusudi ili ikitokea pressure imekuwa kubwa wafanye reform Ila ikiwa ndogo wapite kimya kimya
Itafika wakati wote tutaongea lugha moja
#No reforms no election
Unamfikia kwa shule,au kwenye ukoo wenu kuna mtu anamfikia achilia mbali kumzidi?Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Mna utoto sana hahahahahahaWazungu Wanatisha
Hivi Gwajiboy alikuwemo????Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Let's keep more pressure from now ✌️Itategemea na pressure itakavyokuwa hiyo nafasi imeachwa makusudi ili ikitokea pressure imekuwa kubwa wafanye reform Ila ikiwa ndogo wapite kimya kimya
Leo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.