Bwana mdogo uelewa wako ni hafifu sana. unajua maana ya NENO kuhalalisha Lakini??Kama wasingeingia huko bungeni ndio ingekuwa matokeo ya uchaguzi hamkuibiwa?
Au kitu gani kingebadilika?
Chadema wamesusa ila kila siku wako kwenye mitandao kushauri serikali, sasa wanashauri serikali ipi wakati uchunguzi hawautambui?
Suala la kuweka mambo Sawa ni kurudia uchaguzi. Wote ni wabunge haramu hawakupatikana Kwa njia Halali. Ikiwepo hata Rais mwenye. Wale COVID 19 wapo mle kuharalisha ule uchaguzi uliofanyika October mwaka JanaEla inatoka wapi?
Watakuwa wamepewa taraka, wale wapo bungeni kwa sababu maalum, Spika na tume ya uchafuzi wanafahamu vizuri wanachokitenda..! Hata kesi ifunguliwe kwa bunge na tume kukiuka katiba ya nchi hawawezi kuondolewa maana kesi ikifungiliwa itapelekwa kwa FELESHI itapigwa dana dana mpaka miaka 5 iishe..Kimsingi hawajafukuzwa.... La sivyo wasingekuwa bungeni....
Hahahaaa.....
Anayekudanganya serikali inatikana na uchaguzi pekee ni Nani We Kanjanja?Kama wasingeingia huko bungeni ndio ingekuwa matokeo ya uchaguzi hamkuibiwa?
Au kitu gani kingebadilika?
Chadema wamesusa ila kila siku wako kwenye mitandao kushauri serikali, sasa wanashauri serikali ipi wakati uchunguzi hawautambui?
Hilo ni kwa kila binadamu ikiwemo wewe na haijulikani nani anatangulia. Nadhani ungejikita na mada mezani.Mungu atasepa na mmoja mmoja.
Anayekudanganya serikali inatikana na uchaguzi pekee ni Nani We Kanjanja?
Suala la kuweka mambo Sawa ni kurudia uchaguzi. Wote ni wabunge haramu hawakupatikana Kwa njia Halali. Ikiwepo hata Rais mwenye. Wale COVID 19 wapo mle kuharalisha ule uchaguzi uliofanyika October mwaka Jana
Mwanasheria Mkuu wa Serikali yupo Bungeni Wabungeni Wasio na Vyama anashinda Nao Spika yumo Bungeni yeye ndiye Anawakumbatia kwanini?
Ili kutimiza ile sheria ya usimamizi ya mahesabu ya serikali za kitaa PAC na LAAC maana kule bungeni husimamiwa na upinzaniWakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Huu ndio ukweli mtupuAsilimia 90 ya wabunge hawa safari hii sio chaguo letu wananchi,hilo lipo wazi
Hujui loloteCoz sababu za kuwavua uanachama wao sio za msingi,
Hata wakina silinde walilindwa na spika wakati ule mbowe amepiga bia zake anaawambia wabunge wote watoke nje ya bunge kisa kuna corona
Viti maalum ni takwa la kikatiba, na wakina mdee wamefukuzwa just because wametii katiba
Sasa nchi ikiwa na wananchi sampuli ya huyu mtapigaJe hatua ?!. NeverKwa sasa tutaendelea hivi hivi
Hakuna katiba mpya wala tume nyingine, hili la tume ni maalum kwa ajili ya kuwafurahisha chadema no way
As long as mambo yanakwenda basi acha twende
Sasa nchi ikiwa na wananchi sampuli ya huyu mtapigaJe hatua ?!. Never
Hujui lolote
Hujui kuwa kuwa na democracy iliokomaa isiyo na uonevu nayo ni maendeleo ?![emoji174]. Twaweza hawakukoseaKupiga hatua ni kuwa na tume mpya? Kupiga hatua ni kuwa na katiba mpya? Nyie mnataka tume mpya kwa manufaa yenu ya kichama, sisi kama wanainchi tume mpya ya uchaguzi ya nn