Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #61
Kweli mkuuAsilimia 90 ya wabunge hawa safari hii sio chaguo letu wananchi,hilo lipo wazi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuAsilimia 90 ya wabunge hawa safari hii sio chaguo letu wananchi,hilo lipo wazi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Muda utaongea Mkuu.Sio Ndugai ninaemjua mimi. Ndugai ni zaidi ya kichwa maji szani yupo tayari kufanya hivyo.
Kwa sasa bungeni ni full mapambio na nyimbo za kuabudu.
Eti tuna imani na samia.
Ngoja tuachane nao tuendelee kujifukiza
So far Sidhan Kama Kuna mwanaccm jeuri Kama mwendasake...wewe jibu kifedhuli tu lakin kumbuka huwez kumfikia mwendasake kwa jeuri na zereu. Na jeuri yake yoooote mwendasake katokomea itakuwa wewe?!!Coz sababu za kuwavua uanachama wao sio za msingi,
Hata wakina silinde walilindwa na spika wakati ule mbowe amepiga bia zake anaawambia wabunge wote watoke nje ya bunge kisa kuna corona
Viti maalum ni takwa la kikatiba, na wakina mdee wamefukuzwa just because wametii katiba
So far Sidhan Kama Kuna mwanaccm jeuri Kama mwendasake...wewe jibu kifedhuli tu lakin kumbuka huwez kumfikia mwendasake kwa jeuri na zereu. Na jeuri yake yoooote mwendasake katokomea itakuwa wewe?!!
Endeleza ufedhuli lakin Mungu yupo atakujibu soon....vinginevyo tubu uache kushabikua uovu dhidi ya binadamu wenzio.
At least hao hawajafukuzwa na vyama vyaoWabunge wote wale mle bungeni wa viti maalum na wa majimboni akiwepo Nape aliyepita bila kupingwa hawana sifa. Kwahiyo kuweka Sawa ni kwamba uchaguzi urudiwe ndio tutapate wabunge wapya
Viongozi waovu bado wapo mkuu.Nchi pamoja na Mungu kutusaidi kutoa kiongozi muovu bado hatujielewi
Unajua kanuni ya kupata wabunge wa viti maalum ?!. Ukijua hilo ndiyo maana CDM wanalalamikia utaratibu uliotumika kuwaweka kina Mdee hapo. Vile viti ni juhudi ya chama . Ilitakiwa kukiachia chama kihusike na upatikanaji wao . Si kuchaguliwa na washindani waoUovu ni wanawake kwenda bungeni kwenye viti vyao?
Im telling you vile viti maalum vingekuwa vya wanaume chadema wasingeacha, ila kwa vile ni wanawake wanapata wivu tu
Mbona hampigi kelele viongozi wenu wote wako nje ya inchi?
Ilitakiwa mshangae sasa hiki chama kinaendeshwaje
Ila hayo hamyaoni nyie mnachokiona ni watoto wa kike kuwa wabunge, wanaume wazima jasho linawatoka
Kwa sasa tutaendelea hivi hivi
Hakuna katiba mpya wala tume nyingine, hili la tume ni maalum kwa ajili ya kuwafurahisha chadema no way
As long as mambo yanakwenda basi acha twende
Unajua kanuni ya kupata wabunge wa viti maalum ?!. Ukijua hilo ndiyo maana CDM wanalalamikia utaratibu uliotumika kuwaweka kina Mdee hapo. Vile viti ni juhudi ya chama . Ilitakiwa kukiachia chama kihusike na upatikanaji wao . Si kuchaguliwa na washindani wao
Katiba ipi inasema hivyo ?!Chama si kimesusa? So mwenyekiti wa wanawake wa chadema Akaona hakuna haja ya kususia wao kama wanawake wacha waendelee so no problem