ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
USIJIDANGANYE kwamba WEWE waweza kuzuia mahitaji ya KWELI ya wananchi.Kupiga hatua ni kuwa na tume mpya? Kupiga hatua ni kuwa na katiba mpya? Nyie mnataka tume mpya kwa manufaa yenu ya kichama, sisi kama wanainchi tume mpya ya uchaguzi ya nn
Hatua ya mwanzo tayari, sasa tunakaribia arobaini ya Mwendazake, labda ndio utaanza kuamini.
Jiwe alikuwa mbishi na mwenye kiburimbuzi kuliko wewe.